Kiwanja Kigamboni, Tshs.70million pamoja na Title Deed Transfer!

Orrionorri

Member
Oct 17, 2014
21
5
Hiyo ni bei ya kiwanja kilichoko jirani kabisa upande wa baharini, mkabala na magorofa mapya yanayojengwa eneo la Dege Kigamboni. Bei hiyo inajumlisha hati ya kiwanja (Title Deed) itakayofanyiwa transfer ili iwe na jina la mteja! Ukubwa wake ni zaidi ya sqm.900. Panafaa kwa ujenzi wa nyumba ya kawaida au gorofa kwa makazi/biashara.
 
Kwanini useme zaidi ya square metre 900? Hakina ujazo kamili?
 
70 million? Kiwanja?? Waliojesha washajenga, waliokua bado hawatajenga...
 
Dege ninunue kwa 70M alafu square meter 1000 hakijafika kuwa serious kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom