Graduate Mwenye uwezo mkubwa wa kutumia computer

Mulugwanza

Member
Feb 3, 2008
88
18
Kijana wa kiume aliye hitimu elimu ya chuo kikuu katika fani ya Biashara mwenye uwezo mkubwa sana wa kutumia computer hasa MS exel na Word processing anahitajika. Awe na uwezo wa kutengeza/kutumia pivotal tables, look up functions, scenario analysis, simple excel macros na uwezo wa kuchambua mafile makubwa ya data kwa kutumia excel.

Awe hajawahi kuajiriwa na mchapakazi, anaeweza kufanya kazi mwenyewe bila kusimamiwa.

Mwenye sifa hizi ani pm.
 
Ambaye hajawahi kuajiriwa lkn mwenye uwezo wa kufanya hizo kazi??.. yaani mtu yupo tu nyumbani anakula na kulala halafu awe na uwezo/ uzoefu wa kuchambua mafaili makubwa ya data?.. naona wewe unachokitaka hukitaki sio bure
 
Say you!
 
jamani wakitaka wenye uzoefu wa miaka 3 na kuendelea tunalalamika
wakitaka hao wasio na uzoefu tunalalamika

jambo lililopo ni kuwa kutakuwa na makubaliano ya mwajiriwa na mwajiri sasa kama mwajiriwa akiingia kwenye hiyo ajira anayoona atakandamizwa shauri yake
 
Kijana wa kiume aliye hitimu elimu ya chuo kikuu katika fani ya Biashara mwenye uwezo mkubwa sana wa kutumia computer hasa MS exel na Word processing anahitajika. Awe na uwezo wa kutengeza/kutumia pivotal tables, look up functions, scenario analysis, simple excel macros na uwezo wa kuchambua mafile makubwa ya data kwa kutumia excel.

Awe hajawahi kuajiriwa na mchapakazi, anaeweza kufanya kazi mwenyewe bila kusimamiwa.

Mwenye sifa hizi ani pm.
Nipo mm nicheki 0753210177
 
Back
Top Bottom