Wenyewe wanadai eti "busara ya kawaida ilikuwa inatumika". If we want systems -- this is how systems operate hakuna umjomba na shangazi. Walikuwa wanalipisha vifurushi ili upate access ya hizo channel za free -- leo ndio wamekumbuka kuwa ni Free To Air -- tumbaku wakubwa.
Nimeshakusoma wewe ndio haujanielewa vizuri. Huyo jamaa amefanya hayo aliyofanya baada ya mipango yake possibly michafu aliyopanga kuharibika. Huenda alishajipanga kuzitumia hizo wiki 2 kwa mpango ya kando akamkatie -- mara paap bidada hata safari haijafanyika. Hapo ndio povu lilipoanzia.
Twende kwa huyo mwenye hisa 1,000 ukikumbuka kila hisa ilikuwa sh 850/= hivyo aliwekeza laki nane na nusu (850,000) ili kuwa na hisa 1,000. Kapata jumla ya sh. 12,740 baada ya miezi sita. Bora angeenda kubet hiyo hela aisee!!!
Je hizi ni dalili njema zimeanza kuonekana? -- nadhani kibano cha makinikia kimeanza kufungua alternatives! One could wonder why this alternative is only discovered now and not then. Time will tell.
For further details; see press release attached or follow this link
Positive Results from...
Sizonje amejua namna ya kula na kipofu, hauoni vitu vinavyoendelea kwa sasa inaonekana kama uhuru na haki unatendeka kinamna fulani, yaani kwa ghafla kama upepo umegeuka! But wait, hamko huru kama mnavyodhani, watch it, not to that extent
Mazafantaz Moderators..... kwa nini mmeleta uzi wangu wa "Ingia uyaone maajabu wa nyumba yetu" kwenye entertainment! Mimi niliuanzisha sikuwa na maana ya entertainment! Nilikuwa nashangaa "maajabu ya nyumba yetu" yaliyotokea leo! Nilikuwa namshangaa sizonje alikaribishwa vizuri akaoneshwa...
Sizonjeee.......(tafsiri yangu)
Karibu sana sizonje....
Huu hapa ni ua, lile pale ni shimo la taka na kile pale ni choo
"Kinachotutisha na kutuogopesha zaidi, wanaoishi humu ndani hawajawahi kutupa taka wala kwenda chooni"
Kumbe ulimaanisha watu hao hawali!
Maana usipokula maana yake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.