Yes, mimi ni mulokole na mtumishi kabisa wa Mungu. Nilianza kujiita jina hilo hapa JF mwaka 2007, nikaja kuokoka mwaka 2015. So nilijitabiria neema hii
Majina ya mama yako/mama mkwe wako yako tofauti ya yaliyoandikwa kwenye cheti cha kuzaliwa.
Yaani kama mama wakati anakuzaa alikuwa anaitwa Anastazia Tatu Peter (jina la babake au Mme wa zamani) na sasa kwenye cheti chake cha NIDA au cha kura anaitwa Anastazia Tatu Mahendeka.
NHIF hawampi bima...
Miujiza ipo sana tu tena ya kiMungu ukiiomba kwa kufuata kanuni na neno la Mungu. Yaani iko hivi, kila mtu anaweza kutumiwa na Mungu kufanya miujiza, si lazima uende kwa mtu fulani. tulipewa sote tunaomwamini Yesu kama mkombozi wetu kama ilivyo andikwa : Marko 16:17-18
Nimeona miujiza Mingi...
Mkuu hii ndoto inatafisiriwa hivi.
Kuota mkuu wa nchi, mzee au mtu mzima inaweza kumaanisha kumuota mkubwa wako wa kireogo anayekuunganusha na Mungu na kwamba unamlilia.
Namba ya simu na mawasiliano ni mahusiano yako binafasi na Mungu wako na hivyo, kupoteza namba ya simu ina maana mahusiano...
Mkuu huwezi kufa, yuko Yesu mponyaji. Naomba unitafute haraka sana kwa maonbi, utamshuhudia sana Mungu alivyomkuu asiyeshindwa na lolote .Nitafute haraka sana tafadhali .
Meditation ziko za aina nyingi ila kikuu ni uzingativu (concentration) ili uishi katika uwepo (presence) ambao ndio uhalisia. unahitaji muda wa kukaa peke yako na ku-reflect kwako wewe mwenyewe, you action then kuondoa woga ndani mwako nakuishi kwakujiamini
dawa ya kuushinda uchawi ni mediation tu. fanya meditation hakuna kitu itakudhuru lakini kumbuka kuwa positive katika maisha yako na mienendo yako yote
Mimi nimekuwa nikiichapa masturbation karibia kila siku kwa miaka mitatu na sasa nimepata mchumba na ngono ni tamu kwa kwenda mbele.
Ninauwezo wa kumtwanga zaidi ya nusu saa kabla ya kukukojoa na wote tunaridhika. bao moja linatosha na siku nyingine nachapa jioni/usiku na asubuhi sijaona...
nimetokea kumfahamu deus kwa muda sasa na mpaka haya yote yanatokea nilikuwa namdai hela kubwa, sijui naweza kumfuata huko dodoma ALIPO?
katika maongezi yangu na deus, aliwahi kuniambia kuwa anaukaribu na Ghadafi, rais wa libya, kusema ukweli maelezo yake yanaonyesha kama alijifunza ujasusi...
huyu malasusa naye ni fisadi mkubwa ndani ya kkkt. mbona fisadi lowasa mpaka leo ana siti yake maalumu kkanisani? yaani ukiingia kanisani azania, bench la pili kutoka mbele, kulia kwako km unaangalia madhabahu, ni siti ya lowasa na familia yake ktk ibada ya pili, hakuna mtuu anayeruhusiwa...
inasemekana kwamba hakuna mmasai hata mmoja aliyewahi kufa kwa blood pressure, kisukari au mishutuko. hii inatokana na ukweli kwamba mmasai alale nje, ndani yote sawa. ale chakula kibichi kilichopikwa yote sawa.
milikutana na mswidish mmoja kijijini kwetu akawaangalia watoto yatima na kusema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.