Askofu Malasusa-tuachieni Kanisa Letu!

mwanaizaya

Senior Member
Apr 26, 2008
133
1
Askofu Mkuuu Wa Kanisa La Kkkt Tanzania Bw Malasusa Amesema Imefika Wakati Kanisa Tubaki Kama Kanisa Na Wanasiasa Naomba Mliheshimu Hili..tusingependa Kanisa Kutumika Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani...
Kama Niliposema Hapo Nyuma Kkkt Si Ya Chama Chochote Na Wala Hakina Mpango Wa Kuingia Kwenye Siasa!!!!
Katika Kuhitimisha Askofu Mkuu Amesema Amegawa Waraka Makanisa Yoote Kulaani Yale Yaliotokea Kuhusu Kukaribishwa Kwa Mh Rostam Aziz,,alisema Anawakaribisha Sana Wanasiasa Ila Asingependa Watumie Sehemu Ile Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani;;;;;

Yoh 8:1--8

Mwenye Dhambi Na Aanze Kumrushia Mawe :::::nao Wakaanza Kuondoka Mmoja Baada Ya Mmoja Tumuombee Na Si Kumhukumu!!!
Mungu Atambadilisha Na Ipo Siku Atamjua Mungu Zaidi Na Kuomba Msamaha Kwa Yale Yote Aliyoyatenda
 
KKKT mna tatizo kubwa. mnajichanganya mnoooo. hivi kazi ya utumishi wa Mungu kwa sasa mmeichaa mnafanya publicity ya RA tuuuuu. nani anayewalipaaaa. nawaombea kwa muumba mfanye kazi ya manufaa kwa kondoo wa mungu. Acheni majungu mnashusha heshima yenuu kama KANISA. kwani wanakwaya kama walimwalika akafika na kuhubiri, wakapata walichotaka(mchango) kwani hawakuona mwingine ila yeye ili wafanikiwe shida zao(jenereta nk). MSIHUKUMU ninyi ni sehemu ya kuokoaa hasa walio katika dhambi.

ACHENI UNAFIKI NA KUTUMIKA NA KIKUNDI CHOCHOTE.
Mna migogoro kila kukicha kutokana na tabia mnayoionyesha sasa...
 
Melianzisha wenyewe kwa kuingiza siasa humo na hata kumsimamisha mchungaji lazima muyanywe maji na msikie uchungu wake.next time think twice before you make unwise decisions.
 
KKKT tumeshawazoe kila kukicha ugonvi so hatushangai kwa hili. nyie ni watu wa tamaa ugonvi na kupenda pesa,kwan hao wanakwaya hawakumona mtu mwingine mpaka wamualike RA.SAbabu ya kufany ahivyo ni katika kuebdeleza utaratibu wenu amabo mmekuwa nao wa kuchangisha watu ovyo..Sasa huyu kwakuwa ana beef na mzee mmojawapo wa kanisa ndio ikawa tabu
 
Askofu Mkuuu Wa Kanisa La Kkkt Tanzania Bw Malasusa Amesema Imefika Wakati Kanisa Tubaki Kama Kanisa Na Wanasiasa Naomba Mliheshimu Hili..tusingependa Kanisa Kutumika Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani...
Kama Niliposema Hapo Nyuma Kkkt Si Ya Chama Chochote Na Wala Hakina Mpango Wa Kuingia Kwenye Siasa!!!!
Katika Kuhitimisha Askofu Mkuu Amesema Amegawa Waraka Makanisa Yoote Kulaani Yale Yaliotokea Kuhusu Kukaribishwa Kwa Mh Rostam Aziz,,alisema Anawakaribisha Sana Wanasiasa Ila Asingependa Watumie Sehemu Ile Kama Sehemu Ya Kujisafisha Au Kutangaza Sera Za Chama Fulani;;;;;

Huyu Askofu Malasusa ni MNAFIKI tena sana.
Tunakubali kuwa RA ni FISADI lakini mbona LOWASA alipokelewa tena na ASKOFU Laizer Arusha na hata kumwekea mikono ya baraka eti kwa kitendo cha kishujaa kujiuzuru uPM wakati aliambiwa lazima aachie ngazi, ASKOFU LAIZER ajua LOWASSA ni FISADI, hata huyu Askofu mkuu wa kkkt Tanzania bw. Malausa anajua hivyo kwanini HAKUKEMEA badala yake alikaa kimya wakati huo. mbona hata sasa hakumtaja LOWASSA badala yake anamkemea rOSTAM AZIZ peke yake.

Mtazamo wangu askofu mkuu Malasusa ni MNAFIKI na MBELE YA MUNGU anahatia kwa kumkubali LOWASSA sijui kwa sababu ya kusaidia kujenga kanisa. Naona bora angekaa kimya tu otherwise, watu wa UDUNI watasema kwasababu RA ni dini tofauti ndiyo maana KASEMA
 
kkkt acheni unafiki,imekuwa taabu kwa rostam aziz?mbona lowasa alipokelewa arusha na askofu laizer na hamkusema chochote ?kkkt kupenda kwenu pesa mmekuwa mkipokea misaada kutoka kwa watu ambao c safi na wengi wamo ktk uongozi wa makanisa(wazee) na hizo pesa za aziz mnazirudisha? isiwe mambo ya baniani mbaya kiatu chake kizuri
 
huyu malasusa naye ni fisadi mkubwa ndani ya kkkt. mbona fisadi lowasa mpaka leo ana siti yake maalumu kkanisani? yaani ukiingia kanisani azania, bench la pili kutoka mbele, kulia kwako km unaangalia madhabahu, ni siti ya lowasa na familia yake ktk ibada ya pili, hakuna mtuu anayeruhusiwa kuikalia. nih lowasa na vikinda vyake tu. kumbuka pia mtoto wa lowasa maarafu km freddy, ndiye mzee wa kanisa wa azania front.
siku za mavuno, hawa majamaa hukaa mbele pamoja na ufisadi wao. Malasusa mwenyewe hung'ang'ania matajiri. sasa kuna mpango wa kujenga mahekalu ya anasa ktk eneo la kanisa kule mikocheni karibu na regence hotel, ili malasusa apate pahala pazuri pa kukaa eti kwa kuwa nii askofu mkuu wa kkkt (kampuni kubwa katika tz)
wazee wa kanisa hilo huwa wanajipanga na kwenda kuspend sadaka za waumini kila mwezi ktk hotel za kitalii, mfano hivi majuzi walikuwa kwenye hotel ya courtyard halafu vinakosekana vitu vingine muhimu kanisani!
maaskofu woote ni mafisadi bila kujali dini na ndiyo maana wanaishi kwa anasa za miili na sio roho mtakatifu kwani kila askofu wa dini yoyote anaendesha gari la kifisadi na kuishi kwenye juumba la kifisadi.
nawakemea katika jina la Yesu wa tanzania maana yule wa uyahudi wamemshinda kete!
siku ya mwisho (kama ipo kweli) wote watalia na kusaga meno hata kama yatakuwa yameng'oka yote.

BWANA YESU ASIFIWE JAMANI!
 
Jamani naomba mnifafanulie inakuwaje viongozi wa dini wakawa wanatumia nyumba za Ibada kuzungumzia viongozi wa kisasa iwapo kuwasifu au kuwakaripia lakini RA alipopata mwanya wa kutumia Kanisa kwa kujikosha kunatokea nongwa? Kwanini KKKT hawawi wawazi na kuwaeleza wananchi kuwa Sera ni kuchaguwa viongozi wa namna fulani katika kutumia fursa hiyo na kwamba RA hayumo katika orodha ya those favoured kutumia kanisa?
 
huyu bwana ni mnafiki sana kwanza kuna hiki kisa mnisaidie kuna binti mmoja alipata matatizo na bwana wake akapeleka matatizo kwa mkuu malasusa baadala yake jama akaafanya testing kumu apro@##$%% mwisho dada akaamua kujikalia na matatizo yake

lingine hilo la lowassa mbona akuongea zaidi ya kupiga perfume viti vyake na familia yake kila jumamosi na yeye kuja na kuhahkiki mapema kama viko safi we malasusa

unamwona mwenzio mtikila anatukana huku ameshayakalia mavi....kumbe mnaikwenda kuomba na vijisent kw ahaho hao mafisadi alafu mnawatukana nyie watu waumini kuweni macho sana na watu hawa mtakufa maskini......mtikila amejenga jumba kubwa mikiocheni kwa pesa za kuomba mafisadi nyie mmmmhhh
haya we!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hivi hili ni kanisa lao au la Mungu? Kweli Neno halikukosea liliposema kuwa tamaa ya pesa ndio chanzo cha maovu yote!
 
Jamani kumbebesha makosa Malasusa si kumtendea haki.
Michango kwa kanisa au misikiti ni kitu cha kawaida na hakuna ubishi kwamba michango lazima itolewe.
Hakuna kanisa au msikiti ambao unaweza kujiendesha popote pale katika dunia hii kama si michango ya waumini.
Waswahili tulishazoea michango hatutoi ila wazungu ndio huwa wanatupa michango yao kuendesha makanisa yetu na huwa hatuulizi imetoka kwa nani? Mingine hutoka hata kwa mashoga na tunapokea tukiamini imetoka katika mikono safi.
Na ninachotaka kupinga kwa Rostam kualikwa kanisani ni matamshi yake kujisafisha ufisadi tu lakini msaada ulikuwa ni sahihi kabisa. Na wala hakukuwa na kosa yeye au hata mafisadi wengine kutoa.
Nina hakika wengi wanaopiga kelele za kulaani utoaji wa Rostam si watoaji kabisa makanisani, bali ni wale wanaodhani makanisa yanapokea pesa za kujiendeshea toka hewani.
Mwacheni Malasusa na shambulieni RA si kwa kutoa bali kwa ajili ya kauli ya kujisafisha kanisani na si kutubu dhambi ya wizi.
 
huyu bwana ni mnafiki sana kwanza kuna hiki kisa mnisaidie kuna binti mmoja alipata matatizo na bwana wake akapeleka matatizo kwa mkuu malasusa baadala yake jama akaafanya testing kumu apro@##$%% mwisho dada akaamua kujikalia na matatizo yake

lingine hilo la lowassa mbona akuongea zaidi ya kupiga perfume viti vyake na familia yake kila jumamosi na yeye kuja na kuhahkiki mapema kama viko safi we malasusa

unamwona mwenzio mtikila anatukana huku ameshayakalia mavi....kumbe mnaikwenda kuomba na vijisent kw ahaho hao mafisadi alafu mnawatukana nyie watu waumini kuweni macho sana na watu hawa mtakufa maskini......mtikila amejenga jumba kubwa mikiocheni kwa pesa za kuomba mafisadi nyie mmmmhhh
haya we!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Malasusa na KKKT yake ni HOVYO wanakula pesa za mafisadi sana hana tofauti na MTIKILA anaenda kuomba pesa kwa Rostam Aziz na wengine anakula zikiisha anaanza kupiga kelele Fisadi akaamua kumtolea uvivu, sasa Mtikila anasema alienda kukopa atarudisha.

Malasusa eti wanasiasa waache kutumia makanisa kwa manufaa yao, mbona yeye anatumia kanisa kuwasema kisha anarudi kimyumenyume kuchukua pesa kwa mafisadi kina LOWASSA. NINGEKUWA NA GAZETI NINGEWATOA KWENYE FRONT HEADING MAASKOFU NA MAIMAMU WAACHE KUKEJELI WANANCHI KWA HIZO TABIA ZA KIFISADI,

Jamani kwa mwendo huu tutafika kweli??????????????????????
 
Kinachonishangaza kwa VIONGOZI wetu wa DINI ni kitu kimoja: Wanafarijika na kusuuzika sana MIOYONI mwao pale MUUMINI wao mwanasiasa anapopata ukubwa fulani katika ngazi za juu za UONGOZI wa Nchi kama vile Rais, Makamu wake, Waziri Mkuu, Spika, Jaji Mkuu au hata Waziri. Wanamfutia dhambi zake zote; ALIZOTENDA na ATAKAZOTENDA pindi akiwa MADARAKANI!
 
Back
Top Bottom