Haki ya mtumishi kujiendeleza kimasomo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Haki ya mtumishi kujiendeleza kimasomo

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by RIZIKI JUMATATU, Jan 25, 2012.

 1. R

  RIZIKI JUMATATU Member

  #1
  Jan 25, 2012
  Joined: Jan 15, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Sheria za kazi (Utumishi wa umma) zinasemaje kuhusu mtumishi anayetaka kwenda kujiendeleza kimasomo wakati hajamaliza hata mwaka mmoja kazini na ikiwa gharama za masomo atajigharamia mwenyewe.
   
 2. M

  Mulokole Member

  #2
  Feb 6, 2012
  Joined: Aug 6, 2007
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hata minajiuliza swali kama hilo wajuzi watusaidie
   
 3. K

  Kenedy Member

  #3
  Feb 13, 2012
  Joined: May 27, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa uelewa wangu (si mkubwa sana), kila shirika, taasisi, n.k., ya umma ina staff development policy ambayo inaongoza utaratibu husika. Kwa upande wa waraka wa kisheria naomba wanasheria watuambie ...
   
 4. PrN-kazi

  PrN-kazi JF-Expert Member

  #4
  Feb 13, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 2,890
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  kama we ni mtumishi serikalini, waulize Maafisa Utumishi wa Idara yako wakupatie STANDING ORDERS FOR PUBLIC SERVICE ambayo ni current(2009) uipitie kila kitu kimefafanuliwa vizuri juu ya watumishi wanaotaka kujiendeleza kimasomo:
   
Loading...