Recent content by Mulangila Mukuru

  1. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Je, wanasiasa wa Kanda ya Ziwa wanahujumiwa?

    Haya ni mawazo ya hovyo kabisa asee Yaani Kanda yote ya Ziwa umewaona Dotto na Bashite? Huwezi kutumia watu wawili kujiridhisha kuwa wote wanachukiwa sio kweli Mbona Mpina hasemwi si anatoka Kanda ya Ziwa?
  2. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Mkoa Songwe ni Mtanzania? Jina kama Mkongo au Mrundi?

    Itabidi umshangae na Stagomena Tax
  3. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Ushawahi kuchukuliwa poa na mtu halafu akakuta sivyo kama alivyokudhania?

    Juzi juzi nilienda kumlipa Binti yangu ada kwenye shule fulani ya watoto wa kike kufika office ya Mhasibu nikamkuta mama flani namslimia akanishusha tu akaendelea na mambo yake. Nikamsalimia mara ya pili ndo akanijibu "nimeshakusikia" nikaamua kusubiri alipomaliza mambo yake ndo akaniita "haya...
  4. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania CRDB kuna shida gani? Mnachelewesha sana kutoa mikopo

    Acheni kupiga ramli Kiuhalisia Kuna Tatizo Fulani kwenye mikopo kwa CRDB Bank binafsi Nina mwezi wa pili sasa kila nikienda naambiwa fomu zilishatumwa makao makuu tusubirie. Na sio mimi tu Nina jamaa zangu kibao mpaka wameamua kukimbilia NMB
  5. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

    Soma hiyo
  6. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Kufukuzwa kwa Halima Mdee na Wenzake 18 na mkanganyiko wa Ubunge wao

    Chadema haikuwahi kuteua wabunge wa viti maalum hao watu ni wahuni walijiteua wakafoji nyaraka kwa kushirikiana na NEC
  7. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania CHADEMA sasa wateue Wabunge wa Viti Maalumu

    Baraza kuu halijakaa mdau sijui hii kaipata wapi
  8. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Arusha na Kagera wana Wabunge wa Majimbo Bungeni?

    Kwani waliopo Bungeni ni WA unge wa kuchaguliwa?
  9. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Lindi: Zaidi ya wananchi 22,000 wa Nyangao, Mtama kupata maji safi na salama

    Kabla hujafika Nyangao Kuna Kijiji kinaitwa Kiwalala Umenikumbusha mbali back 90's
  10. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania RPC aliyetamani cheo cha IGP huenda kuna kitu kakiona kuwa hakipo sawa

    Uhamisho wa Kagera umeshatenguliwa amevutwa Polisi HQ akasome magazeti
  11. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Hili sakata la akina Halima Mdee na wenzake ndo linadhihirisha udhaifu wa CHADEMA kama taasisi!

    We kama sio Halima Mdee utakuwa Ester Bulaya😀😀😀
  12. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Tanzania iko huru, laana ya Lengai Ole Sabaya itaenda na wengi

    Nina uhakika kama serikali ingeweza kudhibitisha pasipo shaka kuwa Mh Mbowe alishiriki ugaidi japo kwa 10% tu basi hata viongozi wa dini wangekesha wakimwomba rais isingewezekana kuachiwa. Kuachiwa kwa Mbowe ni matokeo ya udhibitisho kuwa kesi yake ilikuwa ya mchongo kwa 100%
  13. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Nahitaji Mbolea ya Kuku pure isiyochanganywa na kitu chochote

    Upo wapi mkuu? Mimi nafuga kuku kwa kutumia cage napata mbolea pure kabisa ila sipo Dar
  14. Mulangila Mukuru

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wa Ngara hawapendi kusema wametoka mkoa wa Kagera?

    This is not true Bwana DeepPond Binafsi am proud of my tribe nafurahia kuwa mhaya nikiwa katika hali zote maskini au tajir
Back
Top Bottom