Mahakama ya Tanzania iko huru, laana ya Lengai Ole Sabaya itaenda na wengi

Mh. Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa Serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, kwani kusameheana kupo.

Kwenye mizani Sabaya na Mbowe wote ni wafungwa wa kisiasa na tuhuma za Mbowe ni nzito sana na ushahidi wake umetolewa na watu wakubwa ambao ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama lakini tuhuma za Sabaya ni nyepesi sana na ushahidi unatolewa na watu ambao tangu mwanzo wanajulikana wana chuki na Sabaya, Wengine wametamba waziwazi kwenye mabaa kuwa lazima wamkomeshe huyo kijana.

Mh Rais haiwezekani ukubali kuingilia uhuru wa mahakama na kumsamehe mwana Chadema Mbowe alafu ukamuacha kijana na mtoto wako na mwana ccm mwenzako Sabaya akiteseka kwa tuhuma za uongo na uzushi alizotungiwa na wakwepa kodi na wauza madawa ya kulevya wa wilaya ya Hai.

Ni kweli CHADEMA na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.

Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.

Mbowe alikua amefungwa lini na gereza gani ? Halafu tofautisha mfungwa na mahabusu na pia tofautisha mfungwa na mfungwa wa kisiasa.
 
Hoja ni kwamba mfumo wetu wa utendaji haki kwenye jinai upo vizuri?

DPP angeamua kuifuta hii kesi kabla mahakama haijasema wana kesi ya kujibu, ilikuwa logical kwamba upelelezi na ushahidi aliopelekewa na polisi ameona haujitoshelezi. Sasa mahakama ilishathibitisha kwamba ushahidi dhidi ya mashitaka unajitosheleza ndiyo maana ikawataka walete utetezi wao kuiconvice kinyume chake. Sasa hoja ya DPP Kusema hana nia ya kuendelea na kesi ni ipi?

Siku moja tutajua tu kwamba hii katiba tuliyonayo ni famba.
Hii kesi angekuwa ameshatakiwa Neema kandambili kwa mchongo huuhuu angefungwa vizurii kabisa.
Ww mraxy leo ndio unaona umuhimu wa katiba mpya,kagongwe huko lumumba gasho we
 
Mh. Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa Serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, kwani kusameheana kupo.

Kwenye mizani Sabaya na Mbowe wote ni wafungwa wa kisiasa na tuhuma za Mbowe ni nzito sana na ushahidi wake umetolewa na watu wakubwa ambao ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama lakini tuhuma za Sabaya ni nyepesi sana na ushahidi unatolewa na watu ambao tangu mwanzo wanajulikana wana chuki na Sabaya, Wengine wametamba waziwazi kwenye mabaa kuwa lazima wamkomeshe huyo kijana.

Mh Rais haiwezekani ukubali kuingilia uhuru wa mahakama na kumsamehe mwana Chadema Mbowe alafu ukamuacha kijana na mtoto wako na mwana ccm mwenzako Sabaya akiteseka kwa tuhuma za uongo na uzushi alizotungiwa na wakwepa kodi na wauza madawa ya kulevya wa wilaya ya Hai.

Ni kweli CHADEMA na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.

Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Tulia wewe miss sabaya,vumilia maumivu ili akitoka akukute unawatoto sita,tulia mpini ukuingie vizuri
 
Huyo na afungwe tu. Aliwasulubu maraia wengi wasiokuwa na hatia. Nyambafu zake
 
Huwa najiuliza ni kosa gani kubwa yule sabaya alimkosea Rais samia hadi aadhibiwe hivi
Hata mimi huwa najiuliza swali hilo hilo maana kesi ya Sabaya na ushahidi ni wa kutengeneza kabisa lakini leo hii kijana wa watu anateseka Gerezani kwa manufaa ya wauza madawa ya kulevya na wakwepa kodi
 
Mh. Rais Samia, sisi wana CCM tunakuomba kama ulivyoguswa na maombi ya watu mbalimbali ya kutaka umwachie Mbowe anayetuhumiwa kwa tuhuma nzito za ugaidi na kupanga njama za kuua viongozi wa Serikali basi tunakuomba pia uguswe na umwachie aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, kwani kusameheana kupo.

Kwenye mizani Sabaya na Mbowe wote ni wafungwa wa kisiasa na tuhuma za Mbowe ni nzito sana na ushahidi wake umetolewa na watu wakubwa ambao ni viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama lakini tuhuma za Sabaya ni nyepesi sana na ushahidi unatolewa na watu ambao tangu mwanzo wanajulikana wana chuki na Sabaya, Wengine wametamba waziwazi kwenye mabaa kuwa lazima wamkomeshe huyo kijana.

Mh Rais haiwezekani ukubali kuingilia uhuru wa mahakama na kumsamehe mwana Chadema Mbowe alafu ukamuacha kijana na mtoto wako na mwana ccm mwenzako Sabaya akiteseka kwa tuhuma za uongo na uzushi alizotungiwa na wakwepa kodi na wauza madawa ya kulevya wa wilaya ya Hai.

Ni kweli CHADEMA na wapinzani wengi wameshangilia sana kifungo cha Lengai Ole Sabaya cha miaka 30 jela lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba wana CCM wengi wamehuzunishwa na kuchukizwa mno na kifungo cha Sabaya.

Kwenye macho ya wazalendo wa nchi hii ,Sabaya ni mzalendo wa kweli aliyejitoa kuleta mabadiliko kwa vitendo na siyo maneno kama wanavyofanya wengi.
Ungelikuwa karibu yangu hakika ningekuchapa makofi !!
 
kwasasa sabaya yuko salama zaidi akiwa jela kuliko akirudi uraiani kuna raia wanahasira nae sio kitoto wataruka nae kwa ghalama yeyote hata huyo makonda hayuko salama hiyo ishu ya GSM watu wanapima tu pumzi yake ila kuna kundi la raia linammezea mate wamtafune akiwa hai
 
Nina uhakika kama serikali ingeweza kudhibitisha pasipo shaka kuwa Mh Mbowe alishiriki ugaidi japo kwa 10% tu basi hata viongozi wa dini wangekesha wakimwomba rais isingewezekana kuachiwa.
Kuachiwa kwa Mbowe ni matokeo ya udhibitisho kuwa kesi yake ilikuwa ya mchongo kwa 100%
 
Hakika kabisa.
 
Laana hii itawaandama . CHADEMA wanafurahia Sabaya ahukumiwa kuhukumiwa
Kwavile ni CCM
Haya watu ni wabaguzi sana na hii si ubinadamu4
 
Back
Top Bottom