Recent content by mukuruu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mhadhili wa chuo anamtaka mchumba wangu kimapenzi,nifanyeje?

    unahangaika bure mbinu zote hizo bila demu wako kuthubutu ni bure coz tunawatumia kwani wanajileta wenyewe ili wagraduate with A-s and AIDS na njaa zao zinawaleta kwetu asikudanganye uyo demu wako wao ndo wanapenda kutumika akuna lecturer,prof,warden,tutorial,anae approach what we do is...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ulifikiria nini kujibatiza username unayoitumia JamiiForums

    kule kwetu kinshasasa mukuruu maana mutu mukubwa enye mapesa mingi ka wawonaga papa shelii vile
  3. M

    JamiiForums Tanzania Dressing code IFM balaaa.

    Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Scandinavia Bus: Jamani nimelimiss hili basi...

    ndo hawa green star mjomba japo yameshachoka sana kwa route ya mwanza -dar lazma ukeshe kuna mengine walifanya kubadilisha rangi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Dressing code IFM balaaa.

    Napata shaka umri wako ,utokako, umekuja mjini kwa shule ,umesoma boys,ujabahatika kuwa na mrembo wa maana,kwa sababu cioni shida kwa warembo wa ifm kuvaa hivo na inaonyesha kichwa chako kinawaza ngono mda wote embu jioni jioni kaa hapa garden ya jiji posta uone warembo walivovaa utaamini kuwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Udsm kuwafanyia usaili wanafunzi wa M .A.linguistic imekaaje hii wadau

    wadau hii imaekaaje kwa udsm kuwafanyia usaili wanafunzi wanaojiunga na masters ya linguistic mwaka huu kwa wale wanotoka vyuo tofauti na udsm ianamaana hawaamini kuwa kusoma vyuo hivvyo wanafunzi hawana uwezo wa kusoma course husika kwani kuna jamaa yangu kajiunga mwaka huu kafanyiwa usaili...
  7. M

    JamiiForums Tanzania mapenzi ya mbali yanaelekea kunishinda

    Angalia umri wako acha kupoteza tym kwa distance luv you will come commit suicide for nothing locationship is the best way minority have won this
  8. M

    JamiiForums Tanzania Udini wa kutisha UDOM!

    why we call great thinkers yet we are discussing Islamic and Christianity for what benefit dear Tanzanian it is the time now to deal with the one who is propagating this regionalism and not discussing this poor debate as for the young and poor nation like our nation discussing religionalism is...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Quick Help please!!

    pole mdogo wangu nakuonea huruma sana unasoma ili iweje nani akuajiri kwenye media wakati kuna walio major full jounalism,masscom an other coz like na kama ushajua waweza kuja ajiriwa kama mwal. y usiende education au humanities uwe mwlm kamili usihangaike badae kusoma postgraduate ili upande...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    tucimlaumu mulugo tumlaumu aliyemteua kipofu kumuonyesha njia kipofu mwenzia dic iz tanzania bhana
  11. M

    JamiiForums Tanzania Dar iko shwari! Storm is over now!

    haya ndo mafanikio tuliyotarajia hatuna msemaji wa mwisho ndani ya nchi yetu poor tz
  12. M

    JamiiForums Tanzania Cheti cha degree (mlimani) kikipotea huwa wanatoa kingine?

    poleee sana jomba transcript ndo unaruhusiwa kurenew almost mara tatu lakn cheti kinatolewa mara moja otherwise utapewa copy bt police verification ni mhimu na kama una haraka nacho andaa kabahasaha kadogo mambo yaende fasta
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu aomba kujuzwa tofauti kati ya MA .public administration na MA human resource management

    wadau toweni mawazo yenu utofauti uliopo kwa course hizo mbili katika usomaji na soko lake katika ajira mbali na kujiajiri mwenyewe
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ray C kalazwa mbulu

    Hawa ndo maceleb wetu bongo enzi hizo wakiwa kwenye pick na jide it was wonderful! lakini kila binadamu anaishi maisha yake bhana
  15. M

    JamiiForums Tanzania vip comrade yamsebo jimbo la sumbawanga mjini

    wadau mliopo rukwa tujuzeni mpiganaji wetu anaendeleaje na mapambano
Back
Top Bottom