Cheti cha degree (mlimani) kikipotea huwa wanatoa kingine? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheti cha degree (mlimani) kikipotea huwa wanatoa kingine?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by jinalako, Oct 18, 2012.

 1. j

  jinalako Member

  #1
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  CHETI CHA DEGREE (MLIMANI) KIKIPOTEA HUWA WANATOA KINGINE?
  na taratibu zikoje?
   
 2. J

  John W. Mlacha Verified User

  #2
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 540
  Trophy Points: 280
  vyuo vyote duniani huwa wanatoa cheti kimoja tu cha original.. Watakupa copy tu kama wana huo utaratibu
   
 3. mathcom

  mathcom JF-Expert Member

  #3
  Oct 18, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,402
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Umeongea point ndugu yangu. mlimani wanakupa kopi pia, lakini unatakiwa uwe na ripoti ya polisi na transcript..
   
 4. j

  jinalako Member

  #4
  Oct 18, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana
   
 5. m

  mukuruu Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  poleee sana jomba transcript ndo unaruhusiwa kurenew almost mara tatu lakn cheti kinatolewa mara moja otherwise utapewa copy bt police verification ni mhimu na kama una haraka nacho andaa kabahasaha kadogo mambo yaende fasta
   
 6. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,737
  Likes Received: 356
  Trophy Points: 180
  Je mtu akitumia cheti alicho-scani inaruhusiwa?
   
Loading...