mapenzi ya mbali yanaelekea kunishinda

eagle's eye

Member
Oct 29, 2012
20
5
Hello.
Jaman 3 days no call no text. I have played ma party mpaka naona iam using a lot of energy to secure uhusiano huu. Kama sipig then hakuna mawasiliano. Kama sijamtumia SMS basi hajib. Napoteza muda nn.?
 
Lakini Eagle si una kawaida ya kuruka juu, juu zaidi na kuona mbali?
 
ushaachika bana ganga yajayo watu wanakupigia daily we unasubr nini hapo?kwanza wewe jamii gani ke/me
 
Good from far is far from good,angali huu msemo usije tumika kwako
 
Watu wako busy wanatafuta shilingi...hujajua unaweza ukawa na mtu 24-7 na bado ukaibiwa, unakuja kupakua mwenzio alikwishapakuliwa bora kipi?
 
Hiyo ni kama dalili ya maralia. But it may not imply kwamba una maralia. Fanya utafiti wa kutosha kujua kama kweli unachowaza ni ukweli au ni mawazo yako tu.
 
Hello.
Jaman 3 days no call no text. I have played ma party mpaka naona iam using a lot of energy to secure uhusiano huu. Kama sipig then hakuna mawasiliano. Kama sijamtumia SMS basi hajib. Napoteza muda nn.?

We unayejiuliza hayo, ndio unampotezea mudA MWENZIO.
 
Mapenzi ya mbali kama una kifua kidogo hutayaweza, wengine tumeshazoe, ukipigiwa poa, akikutext ni sawa, asipofanya hivyo pia ni sawa tu maadam mimi nakuwa nimeshaplay my part
 
Mapenzi ya mbali yanataka communication commitment kwa wote. Njia rahisi wala usijipe headache. Kaza moyo few days uone atafanyaje. Akikaa kimya inakufa kikomandoo. Akikuuliza vipi mbona kimya muambie kawaida tu, asipoongeza bidii jua kimeumana.
 
Hello.
Jaman 3 days no call no text. I have played ma party mpaka naona iam using a lot of energy to secure uhusiano huu. Kama sipig then hakuna mawasiliano. Kama sijamtumia SMS basi hajib. Napoteza muda nn.?

hahaha...watu hawana relationships sasa...ni mwendo wa locationships tuu...mwenzio kashapata mtu aliko its abt tym u start luking for one too
 
Angalia umri wako acha kupoteza tym kwa distance luv you will come commit suicide for nothing locationship is the best way minority have won this
 
Love is love....no mata the distance! kuwasiliana ni jambo muhimu sana, kama hali ndo hiyo be careful, huenda mechi za nje zinahusika hapa
 
Back
Top Bottom