Recent content by Mukundumbusya

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wadau

    Simu yako inashida gani? Unaweza niona hapa https://wa.me/message/4NG65OZPHYNPF1
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kuweka global rom kwenye oppo a57

    Oppo A5 (2020) inatumia processor Qualcomm SDM665 Snapdragon 665 (11 nm), sio rahisi kuchezeshwa. Jaribu search network manual. Nakumbuka kwenye issue ya network kuna vitu 2; 1. No service. Hii karibia 90% ni hardware 2. Emergency Call Only, mara nyingi ni Software jaribu kuchunguza vitu...
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa jinsi ya kuweka global rom kwenye oppo a57

    Sina hakika kama kuna official global rom kwa Oppo A57. Ila unaweza jaribu njia hizi mbili. 1. Kuweka custom rom (njia ndefu na inaugumu wake) 2. Install Google Apps kwa Kutumia GAPPS Installer Kama itakupa ugumu sana unaweza wasilina nami DM
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada fundi wa TV flat screen, TV yangu imegoma kuwaka

    Kwa wenye TV za LED, hizi TV ratizo lake kubwa ni kuungua taa. Utajuaje kama imeungua taa? Washa Tv, je inatoa sauti ila hakuna picha? Mulika hata kwa mwanga wa simu yako utaona picha. Zingine huwa zinaleta shida kwenye converter za picha. Vyote hivyo vinarekebishika vizuri kabisa.
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Simu haitoi wala kupokea call

    Pole sana, Ukipigiwa simu, anayekupigia anapata majibu gani, haipatikani au inatumika? Umejaribu kuweka lini tofauti na hizo? Hakiki IMEI namba TCRA kwa kutume ujumbe wenye tarakimu 15 za IMEI za simu husika kwenda 15090. Kama jina linalokuja sio sawa na model ya simu yako kuna shida. Angalia...
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Camera ya nyuma ya iPhone 7 haifakazi

    iPhone 7 ni simu ambayo camera zake zinasumbua, ukiacha audio IC ugonjwa mwingine wa iPhone 7, hasa iPhone 7 Plus ni rear Camera kufail. Hiyo muda mwingine inaweza sababishwa na kudondoshwa, lakini pia kuna ripoti toka kwa watumiaji wengine kwamba tatizo linaanza lenyewe tu. Tiba hapo ni...
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hizi sifa nzuri za vijana wa IT UDOM zina ukweli wowote??

    Ili kujua ubora nadhani tuangalie vitu gani wamefanya (mtu mmoja mmoja au chuo kizima). Nimewahi sikia kwamba Udom wako vizuri kwenye Cyber kwa sababu chuo hicho ndo kilikuwa cha kwanza kuwa na course hiyo. “If you know one thing, you know nothing” Naogopa kusema kwamba MUST wako vizuri zaidi...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

    Sasa kama ISP mkubwa TZ ni TTCL kwa nini speed ya internet yao ni ndogo ukilinganisha na VodaCom? Sent from my SM-G950F using Tapatalk
  9. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kuondoa parse error wakati wa ku-instal "Apps" kwenye tablet ya huawei

    Root simu yako kwanza, pili download apm inaitwa Root Browser. Fungua Root Browser nenda system chini kabisa utaona kitu Build Prop, click hapo chagua kufungua kwa Rb text editor. Ikisha funguka utaona maandishi mengi sana (kuwa makini) tafuta sehemu imeandikwa Android version (mfano 'android...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Hiyo ni project ya mwaka 2007. Lowassa alivyokuwa waziri mkuu alikuja Mbeya pia alitembelea kijiji chetu cha Mababu kwenye mhadhara alisema 'ntahakikisha umeme unafika vijiji vingi vya Mbeya, kikiwamo kijiji chenu' na utekelezaji ulianza 2008 mwanzoni. Ko hoja ya umeme kwa Mbeya haijakaa sawa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    It1351 haina recovery kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

    Nina D2105 mwaka wa 3 haijawahi zingua nayo ni MTK. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudownload video kutoka katika Application

    Tumia videoder Sent using Jamii Forums mobile app
  14. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata flashing box

    Mimi nipo Mbeya. Nakupataje mkuu? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata flashing box

    Habari. Naomba msaada wa wapi nitapata Flashing box (miracle) Au, ka unayo tuwasiliane kwa 0769015725 Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom