Nani anamiliki data zinazowezesha kutumia mtandao intaneti?

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,985
2,000
sasa unabishana na mimi au na google huko mm nimekupa nilichokikuta kwenye google hayo mengine ni yako sasa

Waanzilishi ni NASA (ipo chini ya wizara ya ulizi wa marekani na ilianza jeshini ikaborehsa na huyo jamaa hapo niliyemtaja akaleta uwe public.

Unaposema internet haina mwenyewe wakati imegunduliwa na bianadamu mbona inakanganya sana mkuu..
Hakuna mmiliki wa internet kuna mmiliki wa miundombinu ya internet ebu kwanza jiulize internet ni nini? Leo wewe mwenyewe ukifungua website ukawa na server yako ni part ya umili wa internet.
Mgunduzi wa simu siyo mmili wa simu kumbuka hilo labda useme watu wana patents za technlogy inayotumika ku run internet maana imeanda go phases na technological advancements zote hizo wamiliki wana patents zake lakini haimanishi ndo wamiliki wa internet.
Hiyo hiyo google uliyotumia hata mimi ninaweza kukuletea links kibao toka google zikikwambia internet haina mwenyewe,
 

covid 19

JF-Expert Member
May 9, 2014
1,822
2,000
Hakuna mmiliki wa internet kuna mmiliki wa miundombinu ya internet ebu kwanza jiulize internet ni nini? Leo wewe mwenyewe ukifungua website ukawa na server yako ni part ya umili wa internet.
Mgunduzi wa simu siyo mmili wa simu kumbuka hilo labda useme watu wana patents za technlogy inayotumika ku run internet maana imeanda go phases na technological advancements zote hizo wamiliki wana patents zake lakini haimanishi ndo wamiliki wa internet.
Hiyo hiyo google uliyotumia hata mimi ninaweza kukuletea links kibao toka google zikikwambia internet haina mwenyewe,
Eeh aya hata ww unaweza kumiliki ila wenyewe wakizima mitambo yao ndio utajua kuna wamiliki.. Refere google alichowafanya huawei juzi..
 

mtafuta-maisha

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
1,985
2,000
Eeh aya hata ww unaweza kumiliki ila wenyewe wakizima mitambo yao ndio utajua kuna wamiliki.. Refere google alichowafanya huawei juzi..
Unachangaya mambo sasa mkuu, Google ndo developer na mmiliki wa android hilo liko wazi ndo mmiliki wa android, youtube, gmail, chrome os, na hudumu kiadha wa kadha ambazo ni part ya internet ndo maana hajawazimia internet ila hawatwaweza kutumia huduma zake in future.
 

Uwezo wa Kawaida

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
822
1,000
Umeanza vizuri but umemaliza vibaya sana
Ttcl sio isp mkubwa tanzania they cant even match uwezo wa watu kama Raha.com au simbanet
Plus vodacom,airtel na tigo sio kwamba wanauziwa data na ttcl bali mwanzoni walikua wanatumia medium(fiber) kuwafikia wateja wao huko rular areas but for now wanatumia undrground fiber ya halotel sababu ya ttcl haipo reliable
So isp(internet service providers) kama raha au simbanet ni downstream but nao wananunua au kua supplied data from upstream isp kama tata au seacom
asante kiongozi kwa kunielewesha hapo.
 

Ndukidi

JF-Expert Member
Jun 30, 2012
1,499
2,000
Nakushauri uende google, searchfor what is Internet. Anzia hapo, maana unaonekana una mengi ya kujifunza.
 

Mukundumbusya

Senior Member
Aug 11, 2016
165
250
Update
Network ni muunganiko wa computer mbili au zaidi ili ziweze kuwasilian pamoja na kuweza kubadilishana malighafi. Kuna aina nne za network nazo ni
1.Personal network
2.Local area network (LAN)
3.Metropolitan area network (MAN)
4.Wide area network (WAN)
Internet ni mojawapo ya WAN inayojulikana na watu wengi. Kwa hivyo Internet ni muunganiko wa computer ili kuweza kuwasiliana na kubadilishana malighafi. Kwa hiyo hakuna mmiliki wa internet lakini kuna wasimamizi wa miundombinu inayowezesha mawasiliano haya ya computer ambao wanajulikana kama Internet Service Provider (ISP). Kwa Tanzania ISP mkubwa ni TTCL ambae anawauzia hawa wadogo wengine kina Vodacom, Tigo, Airtell na wengine ila yeye hawauzii kama bundle wenda la GB kadhaa hapana bali wao wanalipia kulingana na speed watakayopewa wao. kisha kutoka kwa ISP Ndipo sasa wao wanaanza kutupimia kwamba ukilipia may be 1500 basi tukupe 1GB, hii ndio sababu kubwa mgawanyiko unapotokea kwamba kwa kiasi kile kile ISP fulani atakupa kiasi kadhaa cha MB huku mwingine ikiwa pungufu au zaidi. Lakini ISP wao hulipia speed na sii MB/GB/TB nk.
Sasa kama ISP mkubwa TZ ni TTCL kwa nini speed ya internet yao ni ndogo ukilinganisha na VodaCom?

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 

Gidbang

JF-Expert Member
Jun 1, 2014
4,096
2,000
Then it should be a
Internet ni muunganiko wa computers, so hakuna mmiliki wa data zote labda kuna makampuni yanayotengeneza miundombinu ya kuunganisha comp kama seacom nakadhalika
then it should be free or at least affordable maana ni public utility
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom