Msaada wa kuondoa parse error wakati wa ku-instal "Apps" kwenye tablet ya huawei

Msaada wa kuondoa parse error wakati wa ku-instal "Apps" kwenye tablet ya huawei

Mtimbo

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
1,392
Reaction score
797
Habari za jumapili wadau!?

Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza naomba msaada wenu ili niweze kuondoa hilo tatizo la PARSE ERROR ili nifanikiwe ku -install Apps mbali mbali
Kama vile Mobdro, UKTVNOW etc.

Aina ya Tablet ni :HUAWEI

Model number: MEDIA PAD 10 FHD

Android Version : 4.04

Kernel Version : 3.0.8

Problem : PARSE ERROR

Pop up message :THERE'S APROBLEM PARSING THE PACKAGE

Ni matumaini yangu nitapata usaidizi kwenye hili kwani nimetingwa sana wadau

Mkwawa
 
android version yako ni ndogo sana kwa app hizo lazma igome tu
tafuta angalau 5.1 lolipop au hata 4.4.4 kitkat ila hiyo jelly bean ni ya zamani sana na hizo app hazipo compitable na device yako
 
Habari za jumapili wadau!?

Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza naomba msaada wenu ili niweze kuondoa hilo tatizo la PARSE ERROR ili nifanikiwe ku -install Apps mbali mbali
Kama vile Mobdro, UKTVNOW etc.

Aina ya Tablet ni :HUAWEI

Model number: MEDIA PAD 10 FHD

Android Version : 4.04

Kernel Version : 3.0.8

Problem : PARSE ERROR

Pop up message :THERE'S APROBLEM PARSING THE PACKAGE

Ni matumaini yangu nitapata usaidizi kwenye hili kwani nimetingwa sana wadau

Mkwawa
Root simu yako kwanza, pili download apm inaitwa Root Browser.
Fungua Root Browser nenda system chini kabisa utaona kitu Build Prop, click hapo chagua kufungua kwa Rb text editor. Ikisha funguka utaona maandishi mengi sana (kuwa makini) tafuta sehemu imeandikwa Android version (mfano 'android version:4.0.1) futa hizo namba weka version kubwa zaid ya hiyo 5,6,7 au hata 8 (8 not sure sijatest). Baada ya hapo save na reboot simu yako. Ukiingia about Phone utakuta Android Version imebadilika kiwa ile uliyoandika na progs zote zitakubali bila shida.

Note: Usiweke Android Version ambayo haipo kwani pindi ukifanya hivyo ukireboot simu haitawaka.

Tested by Me.
 
PLAYING WITH BUILD.PROP NI RISK SANA KWA NOOB KAMA YEYE ANAWEZA BRICK
 
PLAYING WITH BUILD.PROP NI RISK SANA KWA NOOB KAMA YEYE ANAWEZA BRICK
Naomba unifahamishe vizuri,nimekutafuta web browser pro nyingi Sana,Kama vile puffin no.sasa Ni ipi ndo inahitajika I'll kuapdate Android ?
 
Kwa sababu nimeangalia build pro sijaiona.natumia Huawei tablet Android version 4.4
 
Naomba unifahamishe vizuri,nimekutafuta web browser pro nyingi Sana,Kama vile puffin no.sasa Ni ipi ndo inahitajika I'll kuapdate Android ?
root browser sio browser kama chrome ama puffin ni file manager. alternative tumia es file explorer ipo playstore. sema kuwa makini kama ulivyoambiwa hapo juu. kama hujui unachofanya acha.
 
root browser sio browser kama chrome ama puffin ni file manager. alternative tumia es file explorer ipo playstore. sema kuwa makini kama ulivyoambiwa hapo juu. kama hujui unachofanya acha.
Nimetumia file explorer,nimeiona build pro na text editor ila Android version sijaona nimeona tu build version
 
Nimetumia file explorer,nimeiona build pro na text editor ila Android version sijaona nimeona tu build version
ngoja atakuja kukuelekeza huyo wa build, mi nimekupa tu alternative ya kufika hapo.
 
mfano wa build.prop

Code:
# begin build properties
# autogenerated by buildinfo.sh
ro.build.id=JDQ39
ro.build.display.id=S3-G130-V1.3-C2BOM-20130922
ro.build.version.incremental=eng.rlk-buildsrv1.1379933192
ro.custom.build.version=1379933192
ro.build.version.sdk=17
ro.build.version.codename=REL
ro.build.version.release=4.2.2
ro.build.date=Mon Sep 23 18:48:20 CST 2013
ro.build.date.utc=1379933300
ro.build.type=user
ro.build.user=rlk-buildsrv1
ro.build.host=rlk-buildsrv1-desktop
ro.build.tags=test-keys
ro.product.model=TECNO S3
ro.product.brand=TECNO
ro.product.name=ratech72_wet_rlk_jb3
ro.product.device=ratech72_wet_rlk_jb3
ro.product.board=ratech72_wet_rlk_jb3
ro.product.cpu.abi=armeabi-v7a
ro.product.cpu.abi2=armeabi
ro.product.manufacturer=alps
ro.product.locale.language=en
ro.product.locale.region=US
ro.wifi.channels=
ro.board.platform=
# ro.build.product is obsolete; use ro.product.device
ro.build.product=ratech72_wet_rlk_jb3
# Do not try to parse ro.build.description or .fingerprint
ro.build.description=ratech72_wet_rlk_jb3-user 4.2.2 JDQ39 eng.rlk-buildsrv1.1379933192 test-keys
ro.build.fingerprint=TECNO/ratech72_wet_rlk_jb3/ratech72_wet_rlk_jb3:4.2.2/JDQ39/1379933192:user/test-keys
ro.build.flavor=
ro.build.characteristics=default
ro.rlk.projectname=g130_s3
ro.wland.enterprise=rlk
ro.oem.name=default
persist.service.adb.enable=1
# end build properties

# begin mediatek build properties
ro.mediatek.version.release=S3-G130-V1.3-C2BOM-20130922
ro.mediatek.platform=MT6572
ro.mediatek.chip_ver=S01
ro.mediatek.version.branch=ALPS.JB3.MP
ro.mediatek.version.sdk=1
# end mediatek build properties
#
# system.prop for generic sdk
#

rild.libpath=/system/lib/mtk-ril.so
rild.libargs=-d /dev/ttyC0

# MTK, Infinity, 20090720 {
wifi.interface=wlan0
# MTK, Infinity, 20090720 }

# MTK, mtk03034, 20101210 {
ro.mediatek.wlan.wsc=1
# MTK, mtk03034 20101210}
# MTK, mtk03034, 20110318 {
ro.mediatek.wlan.p2p=1
# MTK, mtk03034 20110318}

# MTK, mtk03034, 20101213 {
mediatek.wlan.ctia=0
# MTK, mtk03034 20101213}

#
wifi.tethering.interface=ap0
#

ro.opengles.version=131072

wifi.direct.interface=p2p0
dalvik.vm.heapgrowthlimit=96m
dalvik.vm.heapsize=128m

# USB MTP WHQL
ro.sys.usb.mtp.whql.enable=0

# Power off opt in IPO
sys.ipo.pwrdncap=2

ro.sys.usb.storage.type=mtp,mass_storage

# USB BICR function
ro.sys.usb.bicr=yes

# USB Charge only function
ro.sys.usb.charging.only=yes

# audio
ro.camera.sound.forced=0
ro.audio.silent=0

ro.zygote.preload.enable=0

# temporary enables NAV bar (soft keys)
#delete by zhoufei for deleting Navigation Bar
#qemu.hw.mainkeys=0

ro.kernel.zio=38,108,105,16

#
# ADDITIONAL_BUILD_PROPERTIES
#
persist.gemini.sim_num=2
ro.gemini.smart_sim_switch=false
ril.specific.sm_cause=0
ril.external.md=0
ro.sf.hwrotation=0
ril.current.share_modem=2
curlockscreen=1
ro.mediatek.gemini_support=true
persist.radio.fd.counter=15
persist.radio.fd.off.counter=5
persist.radio.fd.r8.counter=15
persist.radio.fd.off.r8.counter=5
persist.mtk.wcn.combo.chipid=-1
drm.service.enabled=true
fmradio.driver.enable=1
ril.first.md=1
ril.flightmode.poweroffMD=1
ril.telephony.mode=3
dalvik.vm.mtk-stack-trace-file=/data/anr/mtk_traces.txt
mediatek.wlan.chip=mediatek.wlan.module.postfix=_
ril.radiooff.poweroffMD=0
ro.config.notification_sound=Droid_pixiedust.mp3
ro.config.alarm_alert=Serene_morning.ogg
ro.config.ringtone=Chase.mp3
persist.sys.language=en
persist.sys.country=US
persist.sys.timezone=Africa/Lagos
ro.operator.optr=CUST
net.bt.name=Android
dalvik.vm.stack-trace-file=/data/anr/traces.txt

edit kwenye
Code:
ro.build.version.release=4.2.2

weka ata 6.0 eg
Code:
ro.build.version.release=6.0

then save alafu reboot simu and install your apk
 
Back
Top Bottom