Uzi maalum kwa ajili ya simu za tecno. Matatizo yake, maujanja na matengenezo

but si anaweza bypass bila hata kuwa na pc,
Hahahaaaa,,,, Inategemeana na sim enyewe kama itarespond io process without PC lakini 2991 atamsaidia ni mtaalam wa izo mambo za kutoa hayo bila box,,,, wengne wanatumiaga tu launchers kama vile ka arrow launcher,,,
 
Hahahaaaa,,,, Inategemeana na sim enyewe kama itarespond io process without PC lakini 2991 atamsaidia ni mtaalam wa izo mambo za kutoa hayo bila box,,,, wengne wanatumiaga tu launchers kama vile ka arrow launcher,,,
mi mwenyew napiga izo maniaje
 
mi mwenyew napiga izo maniaje
Hata mimi,,, ila mpka tools mwangu ndo natoa ila ivi ivi tu bado sijaamua kutaka kujifunza mishe mishe nyingi sana za kimaisha,,, ila ipo siku ili ata nikiwa natembea barabarani tu naweza ku bypass io security,,,,,,
 
mimiC5 yangu inafuta majina daily n
Ndio tabia ya izo sim tecno C5 kufuta majina muda flan,,,, hata pia kuna rafiki angu apa anayo na alishakumbwa na msala ka huo ila baada ya attemps kibao ivi za kuirestore ndo naona asaivi imetuliapo japokua izi tecno nazo ni kama mabomu tu, any time linaweza explode....
 
Hata C9 kuna kopi mbili tofauti zA hii simu.

Japo madai ni tofauti ya internal memory.


Ni kweli tecno wereva zinafuta majina na namba za Watu Nimekutana na tatizo hili kwenye w4.

Pia zina spea feki especially battery.
Namuomba rais atamke neno hapa.
 
Mkuu kama ulishawahi badili chaji,betry au charger connector bado haichaji!!!


basi peleka kwa fundi aangalie chaji IC na vinginevyo.

Mkuu nilipeleka kwa Fundi wakabadili charge system ss iko vizuri. Chaji siku nzima na data zipo on mpk usiku ndiyo nachaji.
Asante maana nilishapanga bajeti ya simu mpya.
 
Tecno wanatumia Processors (CPU) chips za MediaTek au kifupi MTK ambazo ni very weak CPUs na ni very cheaper than others like Qualcomm, Snapdragon, SPD na nyingnezo....Ndio maana sim au devices nyingi zenye chip ya MTK mfano sim za Tecno huwa zinakua na laggs, malwares attacks kwa sana, slow speed kwenye ku process data due to it's weakness na ndio maana zinauzwa bei ndogo sana ukilinganisha na product zingne za simu... Na hii ina loopholes nyingi ndio maana ma virusi mengi sana, ikienda sambamba na OS ya Android ya Google ambapo kuna OS nyingne tena inaitwa AOSP(Android Open Source Project) ambayo huwa pia ya Google lakini ni kama third party OS ambayo inaweza kufanyiwa modifications nyingi na madevelopers wa simu wenyewe ndio maana huwezi kukuta Android OS ya Tecno inafanana na ya Samsung muundo wa firmwares or ROMs.... pia hii OS ya AOSP huwaga haina Google play store ndo utakuta kuna baadhi ya sim mpaka playstore ni ya kudownload huwezi kuikuta nayo pindi uinunuapo na pia inakua na app nyingi sana za kichina na inatumika uko uchina na korea....

Sasa tuje kwenye upande wa viruses kwa sim za Android znazokua na MTK cpu ikiwemo na Tecno baba lao.... Kwakua kuna io third party OS ya Google ambayo ni AOSP so developers wengi huifanyia modifications nyingi nyingi sana na kuichezea watakavyo thus why inakua na loopholes kibao na ni simple kua attacked na viruses na ukikuta sim inatumia chip ya MTK ndio basi tena sim ina jam tu masaa yote..... Tofauti na OS nyingne kama Apple ambayo iko stable na haina third party OS kwa ajili ya developers kui modify, thus why security ya Apple ni kubwa sana kuliko android OS hasa ukija na kwenye swala zima la iCloud ndo basi tena ni janga la ulimwengu mpaka sasa na ni kiboko ya wezi wa sim duniani kote.....

Haya ndio mawazo yang.... wataalam zaidi watakuja kujazia minofu...
Nina D2105 mwaka wa 3 haijawahi zingua nayo ni MTK.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom