Msaada fundi wa TV flat screen, TV yangu imegoma kuwaka

Niko na flat tv yangu Hisense naona na yenyewe ina tatizo kama ilo, imawaka taa nyekunduntu ile lkn kila nikiwasha holaaaa
 
Kwa wenye TV za LED, hizi TV ratizo lake kubwa ni kuungua taa.

Utajuaje kama imeungua taa? Washa Tv, je inatoa sauti ila hakuna picha? Mulika hata kwa mwanga wa simu yako utaona picha.

Zingine huwa zinaleta shida kwenye converter za picha.
Vyote hivyo vinarekebishika vizuri kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom