Ndugu wana JF,hii nikutaka kupata kujua mtizamo wenu.
Maana ninakhofu yakuwa Mwafrika Halisi hana cheka ktk ardhi yake,nawakati huohuo Mwafrika Wakuchonga anatawala soka letu.
Ilikuwa Tunisia,akampokea ndugu yake Misri nsye anaendelea kuling'ang'ania.
Je,ni kweli Waafrika tupo tayari...