Nina kiburi (I am proud) kuwa mTanzania

Pia Dadangu shukuru MWAPACHU kutokuwepo maana nimzigo kwa Taifa hana jipya ila mipasho tu.
Kama umemsahau yeye alikuwa Mkurugenzi wa ATC akaifilisi-nabado ataramba mchanga maana Kisauji atamuanguangusha.
Alikuwa najeuri yamwaka kwakupatiwa vyeo vya fadhila-alifikia kusema kama hamtamchagua atachaguliwa na Mamazenu.
Hakika malipo duniani-Hongera JK,Cheza kwa step-utafanikiwa.
 
Kama kweli una kiburi cha kuwa mTanzania mbona umeikimbia na hauishi hapa? si uwongo huo usitudanganye. Njoo uishi hapa uone joto ya jiwe.

Unajua kuna mtu aliniambia etu wewe saa zote huwa umelewa, sasa naanza kuamini :) teeteehee! Kwa hiyo wewe kuwa na uchungu na TZ lazima uishe Ndago au Shelui au Katalamba au Rufiji au Manzese, kala kabao wee!
 
nitawashukuru wote hasa wabunge wa ccm kama Mama Malecela nk ambao pia walisaidia kufanikisha hii vita.

This was war??? well from my point of a view this girl belongs to nchi ya kusadikika!! Naona sasa utapunguza kuwa pessimistic kind of a person!!
 
Kama kweli una kiburi cha kuwa mTanzania mbona umeikimbia na hauishi hapa? si uwongo huo usitudanganye. Njoo uishi hapa uone joto ya jiwe.

Karl Peters na Livingstone walikuwa wakizipenda sana nchi zao ndo maana walionndoka makwao wakaja kwetu na kutumia muda mrefu sana kukatiza nyika na kuongea na watu. Kazi zao ziliweza kukuza chumi za nchi zao mara dufu.

Uzalendo maana yake siyo kukaa ndani ya mipaka ya nchi yako na kushiriki mgao wa umasikini. Uzalendo ni kutoa mchango wowote uwezao kutoa kwa nchi yako popote pale ulipo.

Wapo wanaokimbia ukweli wa hali halisi ya maisha ya Tanzania kwa kuiba na kupokea Rushwa wakiwa ndani ya mipaka ya Tanzania.
Wako wanaoamka na kukaa mabarazani wakicheza bao huku wakinywa kahawa na kashata za kununuliwa.
Hawa uzalendo wao ni upi?
Kuishi Tanzania????
 
Madela,

Wengine inachukua miaka kuelewa. Kuna mtu yuko kwenye explosion sasa hivi. We kamata popcorn wakati huu wa mapumziko tukijiandaa na ngwe ya pili ya mapambano haya!
 
Dear Zomba .Una beef gani na huyu mtoto wa kike ? Why your personals to the public domain ? Can't you pass her posts withut reading and writing? You can do better that what you are now doing mkulu.

huyu mwanamke kuna mambo mawili makuu aliyoniudhi muheshimiwa,

Kwanza, posting zake za chuki na ubaguzi wa rangi ambazo zinamadhara makubwa kijamii. Na ni lazima zikemewe kwa nguvu zote kwa wanaojuwa nini madhara ya ubaguzi. Nami ndio kila atapoleta maongezi ya kibaguzi ntamkemea.

Pili, amenipachika jina akinifananisha mimi kuwa ni goodluck, inspite of me begging her not to call me that, still anakazania mimi ndio goodluck, mpaka nika-suggest kwake awaandikie ma mods, kwani I think they have a way of finding out, au aende kwenye poasting za huyo good luck a-compare namna ya uandikaji and she will find out for herself, lakini juu ya kujitahidi kwangu kote huko, yeye kakazania tu, kuwa mimi ndio goodluck. NA NIMESHAMWAMBIA AFUTE USEMI WAKE HUO NA ASINIPACHIKE MAJINA AMBAYO HAYANIHUSU. Hiyo ni character assassination na sitoivumilia. Kwa hiyo kama kaamuwa kunipachika majina ni yeye ndiye mwenye bifu. Na kama hajafunzwa na mama basi dunia itamfunda. Nami ndio nimo katika kumfunda.
 
Karl Peters na Livingstone walikuwa wakizipenda sana nchi zao ndo maana walionndoka makwao wakaja kwetu na kutumia muda mrefu sana kukatiza nyika na kuongea na watu. Kazi zao ziliweza kukuza chumi za nchi zao mara dufu.

Uzalendo maana yake siyo kukaa ndani ya mipaka ya nchi yako na kushiriki mgao wa umasikini. Uzalendo ni kutoa mchango wowote uwezao kutoa kwa nchi yako popote pale ulipo.

Wapo wanaokimbia ukweli wa hali halisi ya maisha ya Tanzania kwa kuiba na kupokea Rushwa wakiwa ndani ya mipaka ya Tanzania.
Wako wanaoamka na kukaa mabarazani wakicheza bao huku wakinywa kahawa na kashata za kununuliwa.
Hawa uzalendo wao ni upi?
Kuishi Tanzania????

Wale walikuwa ni researchers na wavumbuzi, jee huyu mwanamke anakwenda kuvumbuwa au kukibumbuwa nini huko? huyu kakimbia ukali ma maisha ya hapa halafu anajifanya mtetezi saaana wa Tanzania, geresha tuu, ni chui ndani ya ngozi ya kondoo.
 
Lini niliomba kunyonya maziwa yako?

zomba,
sasa "unaua timu" mkulu, kama ni hasira nadhani umezimaliza zooooooote. hakuna aliye-perfect hapa, unatoa dukuduku lako halafu yanakwisha tunasonga mbele. wewe toka jana, tena kwenye thread nyingine!! lakini bado tu?? tafadhali sheikh, inatosha kwa heshima yako wewe na sisi members wenzako..........au mpaka tumwite Kofi Annan, au yule "pimbi" tumbo kubwa kaa mimba ya watoto kumi, ati na yeye siku hizi kawa "mpatanishi" wa kimataifa, bwa'kubwa che nkapa??. let go of that B.S, jumuika barzani and have funny!!!.
 
Mwanamke wa kike:

You r a great women..!

Iam saying this from deep of my heart!!

You have shown the great spirit of loving yor country!!

You have dared to expose that spirit....while far away from home, which i serously cherish!

You have boldly and clearly spoken your heart..Tanzania..Tanzania..how you love it!

Now here z my statement!! without some right and wrong critics..you will never grow to shine..more and more...to love Tanzania!!

'hope u know wht im talkin about!!

I am also very proud to read you r posting and i mean it!!

Mungu bariki tz..!!
 
Unajua kuna mtu aliniambia etu wewe saa zote huwa umelewa, sasa naanza kuamini :) teeteehee! Kwa hiyo wewe kuwa na uchungu na TZ lazima uishe Ndago au Shelui au Katalamba au Rufiji au Manzese, kala kabao wee!

Ahsante kwa mawazo yako mazuri.
 
Mwanamke wa kike:

You r a great women..!

Iam saying this from deep of my heart!!

You have shown the great spirit of loving yor country!!

You have dared to expose that spirit....while far away from home, which i serously cherish!

You have boldly and clearly spoken your heart..Tanzania..Tanzania..how you love it!

Now here z my statement!! without some right and wrong critics..you will never grow to shine..more and more...to love Tanzania!!

'hope u know wht im talkin about!!

I am also very proud to read you r posting and i mean it!!

Mungu bariki tz..!!

Asante Azimio jipya....

Leo ni siku ya kufurahia, kukamata popcorn, na pepsi na kusherekea mavuno yaliyopatikana so far. Kipindi cha pili kinakuja muda si mrefu na kazi itakuwa intense lakini yenye mafanikio zaidi........

Thanks!
 
zomba,
sasa "unaua timu" mkulu, kama ni hasira nadhani umezimaliza zooooooote. hakuna aliye-perfect hapa, unatoa dukuduku lako halafu yanakwisha tunasonga mbele. wewe toka jana, tena kwenye thread nyingine!! lakini bado tu?? tafadhali sheikh, inatosha kwa heshima yako wewe na sisi members wenzako..........au mpaka tumwite Kofi Annan, au yule "pimbi" tumbo kubwa kaa mimba ya watoto kumi, ati na yeye siku hizi kawa "mpatanishi" wa kimataifa, bwa'kubwa che nkapa??. let go of that B.S, jumuika barzani and have funny!!!.

Ahsante kwa hayo, nnaomba radhi kwa kuwaudhi watu, si niya yangu kumuudhi mtu bali kilichoniudhi, ni simply mimi nilikuwa nachangia thread na nikasema yangu ya kupinga ubaguzi, na muyu mwanamke akanipachika jina na kushadidia ndio langu. Nikamuambia kiutaratibu, siyo mimi huyo amsemae, lakini kakazania tu.

Anyways, narudia tena, kwa kusema: naomba msamaha kwa kuwaudhi wengi, I was out of hand kwa kupachikwa jina ambalo si langu. I hope you will all understand and forgive me. And thank you bro.
 
Baada ya kusubiri baraza la mawaziri kwa muda mrefu, kwa sasa naumwa kichwa kwani najua kabisa yale mategemeo ya maisha bora kwa kila mtanzania ni ndoto. Malima kwa naibu waziri Madini na nishati, Mwinyi na Nchimbi kupewa wizara ya ulinzi. Watu wenye akili nzuri wanapewa wizara ya maji na kumwagilia?.

Hapa ni sawa na kuvaa chupi kichwani, soksi kuvaa mikononi.
 
Asante Azimio jipya....

Leo ni siku ya kufurahia, kukamata popcorn, na pepsi na kusherekea mavuno yaliyopatikana so far. Kipindi cha pili kinakuja muda si mrefu na kazi itakuwa intense lakini yenye mafanikio zaidi........

Thanks!

Haswa!! i was with some frieds muda kidogo uliopita; tunajinyosha kidogo kabla ya second round..you know what i told them exaclty the same words..., Ninahisi kabisa something is coming which we need geting organised .. maana kitahitaji true character...yaani kuipenda nchi kiukweli!! na kama kawaida we will persist and endure maana tunajua mafanikio yataongezeka...!!
 
Ahsante kwa hayo, nnaomba radhi kwa kuwaudhi watu, si niya yangu kumuudhi mtu bali kilichoniudhi, ni simply mimi nilikuwa nachangia thread na nikasema yangu ya kupinga ubaguzi, na muyu mwanamke akanipachika jina na kushadidia ndio langu. Nikamuambia kiutaratibu, siyo mimi huyo amsemae, lakini kakazania tu.

Anyways, narudia tena, kwa kusema: naomba msamaha kwa kuwaudhi wengi, I was out of hand kwa kupachikwa jina ambalo si langu. I hope you will all understand and forgive me. And thank you bro.[/
B]

Zomba;

Umenifurahisha kwa kuonyesha moyo mkuu!!
Leo nilikuwa nasikiliza rdio za burundi na Rwanda..wamesifu sana watanzania kwa hali kma hii iliyoionyesha kwenye post yako...! Nafikiri ni spirit nzuri... na itapandisha credibility ya JF machoni kwa wengi!!.. hi!! keep it up sir!

Lakini:

Nimalizie kwa Uhodari wa msulihishi "YournameisMINE"
nafikiri ametoa mchango mkubwa kuwezesha mabo kuwa sawa.... YournameisMINE ..karibu unamfikia Koff A..mamabo yanaaza kidogo kidogo!!
 
Haswa!! i was with some frieds muda kidogo uliopita; tunajinyosha kidogo kabla ya second round..you know what i told them exaclty the same words..., Ninahisi kabisa something is coming which we need geting organised .. maana kitahitaji true character...yaani kuipenda nchi kiukweli!! na kama kawaida we will persist and endure maana tunajua mafanikio yataongezeka...!!

Katika shocks kama hili baraza la leo, naona kazi iliyoko mbele ni kubwa na inahitaji team ambayo iko very well rested. Kikwete alikuwa na nafasi nzuri sana ya kujenga heshima yake na ya serikali yake katika hili lakini naona mwenzetu yeye ana yake kabisaaaa!

Anyway wakati tukisubiri bash ya Mkjj, ngoja tujipange kwa kile kinachokuja mbele yetu wakati huo tukifurahia mavuno kiasi yaliyopatikana.
 
Back
Top Bottom