Recent content by muhenua

  1. M

    Hawa ndo waekezaji wa kichina

    She Shida yeko wewe unalilia unedelee kulangua watu, yani wafanya biashara karibu wote wa bongo ukiwasikiliza hoja zao za msingi wanakwambia mchina kaaribu biashara eti kwakuwa anauza rahisi, yani rah yako ni wewe ama nyie muendelee kutuuzia kwa gharama za juu. Shusha na wewe bei kupambana...
  2. M

    Hatimaye Kenya yaipigia magoti Tanzania

    Mwenyewe nimejiuliza sana haya ndo maswali ama naona vibaya
  3. M

    Badili mtazamo wako kuhusu BMW

    Siyo wamezoea magari ya kijapan lah, hawana elimu wanafanya kubahatisha, kwa wazungu hakuna kitu kama icho lazima mtu ukasoma system maalumu ndo ufanye nayo kazi
  4. M

    TANESCO imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240

    Unajua maana ya distribution transfomer na transmission transfomer? Kwa akili yako wahisi hiyo inakuja kukupelekea umeme nyumbn kwako. Ujinga mzigo mkaseme. Nyie ndo ambao mpo kama vishoka hamjui chochote kichwan kuhusu umeme Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    TANESCO imeingiza nchini TRANSFOMA yenye uwezo wa MVA 300 sawa na Mw 240

    Kweli huo ni ufahamu wako. Transformer hiyo unayo iona unahisi itakuwa ni distribution transfomer kweli? Si bora ungenyamaza uwaachie wenye fani zao Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Mrejesho

    Akikuelewesha unishitue Sent using Jamii Forums mobile app
  7. M

    Nyumba inapangishwa, 120,000

    Mbona hutumie hzo picha mpya na umeme tayari? Mm kukiwa na umeme naweza kuja
  8. M

    Nyumba inapangishwa, 120,000

    Picha za mazingira yote muhimu acha maneno mengi
  9. M

    Nini madhara ya kuwa na damu nyingi?

    Aliyo kwambia ni 15 ni nani? Hebu soma tena vzr
  10. M

    Nashauri mamlaka husika ziiite hospitali inayojengwa Chanika 'Makonda hospital'

    Watanzania wazinguzi sana, kufanya installation tu ya equipment tfda, na tbs wametusumbua sana bandarini
  11. M

    Tatizo la kutopeleka charge simu aina ya Samsung

    Hata mimi nina s3 imeaza sumbua upande wa charge. unaweza weka kwenye charge baadai wakuta kama ilikuwa 30 sasa ni 10. yani inasumbua kweli nafanya kama kuitaiming
  12. M

    Kafulila: TANESCO walikuwa sahihi kutaka bei ya umeme ipande

    We ndo ujui kusoma, usikurupuke soma tena
  13. M

    Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Mkuu nimecheka sana, ila huo ndo ukweli. Wanazan hugumu huo walioupata kutokana na uelewa wao mdogo basi ni kwa kila mtu, yani wanatusumbua sana kwenye hizi college za engineering. Huwa wanafundisha masoma kama english, kwakweli wanachekesha. yupo mmoja aliwapa wanafuzi assessment...
  14. M

    Serikali ipige marufuku watu ambao siyo 'Professional Teachers' kufundisha Private Schools

    Mkuu nikweli kabisa, kuna chuo kimoja nilikuwa nipo nafundisha hapo cha engineering, hawa walimu by profession wanatusumbua kweli, kila kikuwa na kikao au semina hoja zao ni namna ya kusimama ubaoni na kumuangalia mwanafuzi. lakini hawajui chochote, mtu yupo pale kwa ajili ya kuchukua...
Back
Top Bottom