Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,647
- 11,227
Lipa kodi ya miaka mitatu.Huo mchezo unaoufanya hutopata mtu,nikupe kodi yangu ya mwaka ukarabati nyumba yako baada ya miaka 2 nyumba imeshaisha unipandishie kodi!!...
Lipa kodi ya miaka mitatu.Huo mchezo unaoufanya hutopata mtu,nikupe kodi yangu ya mwaka ukarabati nyumba yako baada ya miaka 2 nyumba imeshaisha unipandishie kodi!!...
Mkuu namba ipo hapo, ukiwa na nia unanipigia Tu, hata siwez jua wewe unatumia jina gani hapaWeka tangazo face book, uku atukutafuti. Tinajua wewe ni Walee mnaomshitaki mkulugenzi wa jamii forum. Mnaendelea kutafuta watu humu.
Ameshasema ni mbezi msakuzi sema huko barabara ndo vumbi balaa.pia ili mambo yaende poa lazima uwe na usafiri binafsiSiku huyu mtu akitaja location ni tag please
Yap, hela ya umeme imepelea, nataka mpangaji atayeniongezea hela ya umeme. Wengi wanataka umeme, nami kwa sasa sina uwezo, 1.5mHii nyumba haijapataga mpangaji tu??
Evelyn Salt alikua anatafuta nyumba nije ya mji.
Yap, hela ya umeme imepelea, nataka mpangaji atayeniongezea hela ya umeme. Wengi wanataka umeme, nami kwa sasa sina uwezo, 1.5m
Bado hakijauzika, ndio nilitaka baadhi ya hela nihamishie huko. Gari kununua ni kwa ajili ya mishe zangu.Blaza, lakin mbona nakuona unauza viwanja, unanunua magari, unauza magari.
Halafu unakosa 1.5 Million ya kuweka umeme????
Kuna kiwanja chako umekiuza 6.5M kabisa juzi juzi.
Hiyo site inamapungufu rekebisha.Tembelea website yetu ili uweze kutangaza upangishaji wa nyumba/chumba, kuuza/kukodisha shamba, kuuza nyumba, hotel/lodge..
Malazi Kiganjani | Welcome
120000 kwa mwez auView attachment 623964 View attachment 607136 View attachment 607137 Wakuu habari za majukumu,
Napangisha Nyumba yangu. Hii ni mara ya pili naleta hili tangazo. Ila kuna baadhi ya vitu vimeboreka.
Sifa za Nyumba
-Vyumba vya kulala vitatu, kimoja master
Dinning
Jiko.
Sitting room
Tile kote
Varanda Mbili
Gypsum
Simtank
Rangi nyeupe, nje na ndani
Full fence
Ila Umeme mwezi ujao, kulikuwa na tatizo upande A kuvutia
Eneo: Ni mbezi msakuzi, kituo freetown
SimuView attachment 607133
njoo tuongee 0716411720120000 kwa mwez au
ndio, njoo tuongee120000 kwa mwez au