Recent content by Mugwet

  1. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Wazungu huchangamkiwa sana kwenye maofisi kuliko sisi Wabongo?

    Eti huwa tunajifanya tuna ukarimu Kwa wageni
  2. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Sasa kusafirisha samaki hata wa mboga nyumbani unahitaji kibali maalum

    Wamejipanga... Mwaka huu mtawakoma....
  3. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Ukipata mafunzo ya kijeshi lakini wewe usiwe mwanajeshi unaitwaje?!

    Mwanamgambo wa 'Alshabab'
  4. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Kupelekwa Nairobi kwa Tundu Lissu kwa sababu za kiusalama kama alivyosema Makene ina maana gani?

    Wanogopa kundi la kigaidi la Tz linaloitwa " Watu wasiojulikana ". #Tz si salama tena Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Ni utovu mkubwa wa nidhamu kumsema vibaya kiongozi wa nchi, ni kuvunjana moyo, utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu

    Kwahiyo umekuja kumuongelea baba yako humu, au kiongozi aliyezenguka nchi nzima kuomba ridhaa kuongoza nchi?... Siku nyingine jaribu kutumia kichwa kufikiria Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu(CHADEMA): Ndege ya ATCL iliyopaswa kuwasili nchini mwezi Julai, imekamatwa Canada na watu wanaoidai Tanzania

    Huyo mzungu hana uzalendo kwa nchi yake.. Teh teh teh [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Vipi update za mazungumzo na Accacia

    Itabidi tuitishe maandamano ya Amani kudai Noah zetu pamoja na bombadear q400.0 [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  8. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Dereva wa Lori letu tunaelekea kituo gani??

    " Kama haujui unapokwenda.... Hauwezi kupotea " .... Nawapa moyo watanzania, kamwe hatuwezi potea maana hatujui tunapokwenda[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Tujaribu kuwa wazalendo hata kidogo basi

    Labda uanze kwa kueleza maana ya UZALENDO nini? Labda hapo tutajenga hoja,... Maana kila mtu uwa anatafsiri yake ya ilo neno na hapo ndo tatizo linapoanzia Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Wahariri upo pale pale, wagomea Kongamano la RC Makonda

    Na mungu wa darisalama je? [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Mgegedo na mziki

    Aisee uwe una weka mwimbo wa "kibera" Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Kura na Maoni: Ni Mwanasheria Mkuu yupi wa Serikali kati ya Wote ni Bora na yupi ni Duni Hafifu?

    Anajiita "Joka lenye makengeza", Andrew Chenge.... Msomi kutoka Havard... Huyu mwanasheria kaiingiza kingi sana serikali kwenye mikataba migumu, ambayo inatunyonya mpaka sasa... Noma sana huyu mtu
  13. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Mwakyembe: Maisha yangu yapo hatarini

    " Kwenye serikali yangu, sitaweka wazee.. maana wazee ndo wametufikisha hapa tulipo"..... kuna muda ni bora kunyamaza kuliko kutoa speech
  14. Mugwet

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye: Nikisema haya naonekana Mkorofi

    Niliwai soma sehemu imeandikwa kwa kiingereza " Huwezi kuwa adui, kwa kuongea ukweli" , lakini katika nchi yangu lazima uwe adui na kuonekana mpinzani kisa umeongea ukweli, au kujaribu kuonyesha au kuwafumbua watu kadha wa kadha katika mambo yafaayo. Tubadilike watanzania wenzangu, tutoke katika...
Back
Top Bottom