Sasa kusafirisha samaki hata wa mboga nyumbani unahitaji kibali maalum

kirerenya

JF-Expert Member
Aug 27, 2013
1,696
2,252
Unaambiwa kusafirisha samaki hasa kutoka kanda ya ziwa unahitaji kibali maalum. Unahitajika kupata hiyo form hapo chini. Na kuna kiwango maalum cha samaki kwajili ya mboga nyumbani. Ukikamatwa bila hiyo form imekula upande wako.

samaki.jpg
 
MCS Musoma hao.
Wanasumbua kinoma noma.

Kimsingi hii sheria ilikuepo tangu 2003 sema haikutiliwa mkazo sasa wameamua kukaza uzi.
 
Back
Top Bottom