Tangu tupate uhuru tumekuwa na Wanasheria Wakuu wa Serikali kadhaa kwa awamu tofauti tofauti. Kwa maoni yako ni mwanasheria yupi aliyefanyakazi kwa ufanisi mkubwa na kutajika?, aidha, ni mwanasheria yupi aliyehafifu na duni kiasi kwamba mchango wake kwa serikali na taifa unapwaya?