Ni utovu mkubwa wa nidhamu kumsema vibaya kiongozi wa nchi, ni kuvunjana moyo, utovu wa nidhamu na ukosefu wa adabu

Hivi punde

JF-Expert Member
Apr 1, 2017
2,292
2,000
Baba ni baba, haitatokea masikio yakazidi kichwa,na yakizidi hukatwa haraka ili yasiwe kama ya mnyama sungura.

Unapomkosoa vibaya baba yako, hakupi alichotegemea kukupa, hachukui mawazo yako mazuri, anakupotezea katu. Atakuwa anakuangalia tu. Penseli yako ikiisha shule anakuangalia tu, badala ya kukupa nyama sasa anakupa makande,ni kwa sababu ya utukutu wako. Kiatu utakivaa mpk soli itoboke, hali kadhalika kaptula yako itaota viraka,akikuangalia tu. Atakuwa anadeal na watoto wasikivu, watiifu na wanaomsikiliza.

Viongozi wa nchi wanapambana kuweka mambo sawa,mambo yaliyoenda mrama na sote tunajua. Tuwage na kumbukumbu basi.

Kuna watu wanawasema vibaya viongozi wetu,ili iwe nini? Na ukishakashifu,nini kinafuata sasa? Ndo atakupa maziwa na asali? Subutu yako. Wewe ni wa kupewa pilipili kichaa ili utafune debe zima.

Kuna watu hawaoni jema. Kila kitu kibaya, kila kitu hakifai. Huu ni utovu wa nidhamu na ni ukosefu wa adabu, hata Kama wewe ni mtu mzima.
 
Tetty

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
26,386

Hakuna mtu anayekosoa JEMA tunakosoa lililobaya,na hata hilo JEMA kama limewekwa kwenye njia za mkato na zinaend akuligharimu Taifa basi tumkosoa na kumpa njia mbadala.

Baba akikosea mwambie umekosea usimfiche kwa maana haitakusaidia wewe,familai au yeye mwenyewe.

Baba Mlevi mwambie wewe ni mlevi period.
 
radika

JF-Expert Member
Jul 15, 2014
18,915
2,000
NUKUU: ''Dhambi ya ubaguzi kwa watu wa ndani ya taifa moja,dhambi hiyo haifi ni sawa na kula nyama ya mtu''-Mwalimu Nyerere
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,201
2,000
Baba ni baba, haitatokea masikio yakazidi kichwa,na yakizidi hukatwa haraka ili yasiwe kama ya mnyama sungura.

Unapomkosoa vibaya baba yako, hakupi alichotegemea kukupa, hachukui mawazo yako mazuri, anakupotezea katu. Atakuwa anakuangalia tu. Penseli yako ikiisha shule anakuangalia tu, badala ya kukupa nyama sasa anakupa makande,ni kwa sababu ya utukutu wako. Kiatu utakivaa mpk soli itoboke, hali kadhalika kaptula yako itaota viraka,akikuangalia tu. Atakuwa anadeal na watoto wasikivu, watiifu na wanaomsikiliza.

Viongozi wa nchi wanapambana kuweka mambo sawa,mambo yaliyoenda mrama na sote tunajua. Tuwage na kumbukumbu basi.

Kuna watu wanawasema vibaya viongozi wetu,ili iwe nini? Na ukishakashifu,nini kinafuata sasa? Ndo atakupa maziwa na asali? Subutu yako. Wewe ni wa kupewa pilipili kichaa ili utafune debe zima.

Kuna watu hawaoni jema. Kila kitu kibaya, kila kitu hakifai. Huu ni utovu wa nidhamu na ni ukosefu wa adabu, hata Kama wewe ni mtu mzima.
Baba ni baba Hata km wewe mguu wako mkubwa kuliko yeye na akijamba wazungu wansema asenta sisi mubwa akijamba unakuwa umejamba wewe
 
kamili

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,079
2,000
Baba ni baba, haitatokea masikio yakazidi kichwa,na yakizidi hukatwa haraka ili yasiwe kama ya mnyama sungura.

Unapomkosoa vibaya baba yako, hakupi alichotegemea kukupa, hachukui mawazo yako mazuri, anakupotezea katu. Atakuwa anakuangalia tu. Penseli yako ikiisha shule anakuangalia tu, badala ya kukupa nyama sasa anakupa makande,ni kwa sababu ya utukutu wako. Kiatu utakivaa mpk soli itoboke, hali kadhalika kaptula yako itaota viraka,akikuangalia tu. Atakuwa anadeal na watoto wasikivu, watiifu na wanaomsikiliza.

Viongozi wa nchi wanapambana kuweka mambo sawa,mambo yaliyoenda mrama na sote tunajua. Tuwage na kumbukumbu basi.

Kuna watu wanawasema vibaya viongozi wetu,ili iwe nini? Na ukishakashifu,nini kinafuata sasa? Ndo atakupa maziwa na asali? Subutu yako. Wewe ni wa kupewa pilipili kichaa ili utafune debe zima.

Kuna watu hawaoni jema. Kila kitu kibaya, kila kitu hakifai. Huu ni utovu wa nidhamu na ni ukosefu wa adabu, hata Kama wewe ni mtu mzima.
Kumkosoa baba ni kumsaidia. Cha muhimu usimbambikie makosa baba. Tena baba apaswa kuupokea ukosoaji kwa hekima. Ikiwa umemkosoa baba kwa haki naye akakunyima chakula basi atakuwa baba wa visasi. Je baba anayemnyima mwanawe chakula kisa mwanae kamkosoa jinsi alivyokosea majirani atenda ubaba? La hasha. Mimi baba yangu namkosoa naye anisikiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisima

JF-Expert Member
Oct 8, 2010
3,807
2,000
Usiwapangie watu namna ya ukosoaji.
Tumeumbwa tofauti, mtu hupokea jambo na kulitolea kauli katika namna imfaayo yeye kulingana na vile alivyopokea taarifa na as long as ana haki ya kutoa maoni.

Maoni ya mtu yatabalance ikiwa chanzo cha taarifa kimezingatia utashi wa hadhira.

Tupo nchi huru na katiba inaruhusu.
 
Paul Alex

JF-Expert Member
Jul 14, 2012
3,949
2,000
Huyo mtu hawezi kuwa baba yangu, hata wa kusingiziwa.
Baba gani ana roho nyeusi kama tairi mpya ya bodaboda?
 
leonaldo

JF-Expert Member
Oct 26, 2014
1,954
2,000
Baba ni baba, haitatokea masikio yakazidi kichwa,na yakizidi hukatwa haraka ili yasiwe kama ya mnyama sungura.

Unapomkosoa vibaya baba yako, hakupi alichotegemea kukupa, hachukui mawazo yako mazuri, anakupotezea katu. Atakuwa anakuangalia tu. Penseli yako ikiisha shule anakuangalia tu, badala ya kukupa nyama sasa anakupa makande,ni kwa sababu ya utukutu wako. Kiatu utakivaa mpk soli itoboke, hali kadhalika kaptula yako itaota viraka,akikuangalia tu. Atakuwa anadeal na watoto wasikivu, watiifu na wanaomsikiliza.

Viongozi wa nchi wanapambana kuweka mambo sawa,mambo yaliyoenda mrama na sote tunajua. Tuwage na kumbukumbu basi.

Kuna watu wanawasema vibaya viongozi wetu,ili iwe nini? Na ukishakashifu,nini kinafuata sasa? Ndo atakupa maziwa na asali? Subutu yako. Wewe ni wa kupewa pilipili kichaa ili utafune debe zima.

Kuna watu hawaoni jema. Kila kitu kibaya, kila kitu hakifai. Huu ni utovu wa nidhamu na ni ukosefu wa adabu, hata Kama wewe ni mtu mzima.
Hawa walituomba kazi tukawapa,na wala kwenye maombi yao hawakusema kisha baada ya kuwapa kazi watageuka kuqa miungu watu kwamba tunapaswa kuwasujudia nina uhakika kama wangesema hivyo sidhani kama tungewapa hiyo kazi.
Kaeni mkajitafakari mnayo nena na kutenda tuwakumbusha 2020.
 
Hute

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,556
2,000
Baba ni baba, haitatokea masikio yakazidi kichwa,na yakizidi hukatwa haraka ili yasiwe kama ya mnyama sungura.

Unapomkosoa vibaya baba yako, hakupi alichotegemea kukupa, hachukui mawazo yako mazuri, anakupotezea katu. Atakuwa anakuangalia tu. Penseli yako ikiisha shule anakuangalia tu, badala ya kukupa nyama sasa anakupa makande,ni kwa sababu ya utukutu wako. Kiatu utakivaa mpk soli itoboke, hali kadhalika kaptula yako itaota viraka,akikuangalia tu. Atakuwa anadeal na watoto wasikivu, watiifu na wanaomsikiliza.

Viongozi wa nchi wanapambana kuweka mambo sawa,mambo yaliyoenda mrama na sote tunajua. Tuwage na kumbukumbu basi.

Kuna watu wanawasema vibaya viongozi wetu,ili iwe nini? Na ukishakashifu,nini kinafuata sasa? Ndo atakupa maziwa na asali? Subutu yako. Wewe ni wa kupewa pilipili kichaa ili utafune debe zima.

Kuna watu hawaoni jema. Kila kitu kibaya, kila kitu hakifai. Huu ni utovu wa nidhamu na ni ukosefu wa adabu, hata Kama wewe ni mtu mzima.
we utakuwa bashite si bure, sio kwa kunyenyekea wanadamu wenzio hivyo...acha kuabudu mwanadamu mwenzio wewe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom