Recent content by mugomangara

  1. M

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Kwahiyo kwa maana yako ni kwamba timu au mchezaji mwingine akipendelewa wanafanya hivyo ili ku balance kubebwa kwa Messi na Argentina??? Wakiibeba Man U ni ili wa balance? Wakiibeba Madrid ni ili wa balance? Kama ni hivyo maana yake unakubali Ronaldo Ballon D'or ya 2013 hakustahili na alibebwa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Kama ni hivyo elezea uovu wote usiwe selective Unavyoiandama Argentina na Messi utafikiri ndio timu au mchezaji pekee duniani aliyewahi kufaidika na maamuzi yenye utata Ronaldo na Ballon D'or ya 2013?..Ribbery analalamika mpaka leo Malalamiko kuhusu Madrid au Man U kubebwa? husemi kisa ni timu...
  3. M

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    Najua uko kwenye denial stage pale unapokuwa unapitia maumivu Lakini bahati mbaya ni kwamba hakuna chochote unachoweza kubadili kwa hizo conspiracies zako. Huwezi kubadili World Cup aliyobeba Argentina Huwezi kubadili the fact yupo robo fainali Huwezi badili record za Messi Mi nilidhani kwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania 2026 FIFA World Cup - Special Thread

    We jamaa ni mnazi na analysis zako za uongo uongo Kipindi cha Fergie hakuna timu ilikuwa inalalamikiwa kuwa inabebwa England kama Man U (ambayo wewe ni mshabiki) Rafael Benitez kipindi yupo Liverpool alilalamika sana hata Mourinho kipindi yupo Chelsea Hiyo Madrid ya kina Ronaldo ililalamikiwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake kwa hizi akili, Mna haki ya kupigwa matukio

    Kuna mchangiaji hapo juu kasema kweli Tatizo la wanawake ni kudhani kuwa adui yao ni mwanaume wakati sio kweli Wanawake hao hao (mkiwemo ninyi) bila wanaume pengine msingekuwa hapo Kuna mliosomeshwa na wanaume Wapo ambao wanaalipiwa kodi na wanaume Mpo ambao nyumba, magari hadi nguo mmenunuliwa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watibeli sio mbuzi wa kafara. Kamwe hatutakubali kugeuzwa chambo

    Kama Watibeli ni kabila basi ni mojawapo ya makabila ya hovyo kuwahi kutokea katika historia ya dunia Kama ni falsafa haifai kusomwa na mtu yoyote anayejitambua. Umeandika vitu usivyovielewa zaidi ya kujikweza na kujipa umuhimu wewe na watibeli wenzio.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yawezekana hali halisi ndani ya Israel ni mbaya kuliko….

    Sema hii dunia ina ubabe mwingi sana Marekani ana silaha nyingi za nuclear Israel anazo pia na amegoma kusaini makubaliano ya kupunguza silaha za nuclear wala kuruhusu wakaguzi kwenye vinu vyake Iran hana hizo nuclear na ameruhusu wakaguzi Lakini bado kashambuliwa, watu wake wameuliwa na hakuna...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ijue kanuni ya VSP unapochagua mke wa kuoa

    Mtoa mada na wewe huwa hakuna tofauti sababu kila mmoja anavutia kwake Wewe huwa unaamini mwanaume ndo mwenye makosa na unawatetea sana wanawake bila kujali makosa yao, huo ndo u feminist wenyewe. Kama ungekuwa una balance you could have had a point
  9. M

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Kama ulivyosema asiwasikilize watu humu UKIWEMO WEWE NA HUU USHAURI WAKO
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

    Nilimtafutia kazi sehemu nyingine ingawa alikotoka maslahi yalikua mazuri sana Ila ilibidi kuangalia faida za familia kukaa pamoja
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji connection ya kumuhamisha wamoyo wangu, yupo huko machakani, nimechoka upweke, dau lipo

    Nakuelewa sana ndugu nilipitia hiyo changamoto ya kuishi mbali na familia kidogo nipate uchizi. Nashukuru kwa sasa nipo na familia. Ni raha sana kulea watoto Mungu akufanyie wepesi
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

    Mtunzi : Horatio Spafford Wimbo: It is well with my soul
  13. M

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

    Mimi huwa natumia formula moja, sijui kama we itakusaidia. Ninapopitia changamoto huwa najiuluza maswali kadhaa Je mimi ni wa kwanza kupata hiyo changamoto?? Je changamoto zangu ni kubwa kuliko za mtu yoyote dunia nzima??? Mfano : mtoto wangu anaumwa sana hadi nakosa raha lakini unajua kuna mtu...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Mkuu naomba nikushauri kitu hapa Nakuomba sana tena sana; USIKUBALI KURUDIANA NA HUYO MWANAMKE. Ni kweli tunavumilia mengi kwenye ndoa lakini kwa mliko fika hutakiwi kurudi nyuma Kama alikusaliti na bado akaenda mahakamani na kusingizia yote hayo sijui unapata wapi ujasiri wa kupata hata wazo la...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa sasa, wemejawa na ubinafsi na upendo wa mali

    Uko sawa mkuu. Sidhani kama naweza kukubali kuishi na mtu anasema yeye ana chake tu na cha kwangu cha kwetu sote. Hakuna hata maana ya kuoa sasa.
Back
Top Bottom