Recent content by Mugamuga

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tunauza nguo za kiume kama mashati na suruali

    Kila la heri mkuu
  2. M

    JamiiForums Tanzania Saa inatakiwa kuvaliwa mkono gani?

    Nishajizoelea mkono wa kulia
  3. M

    JamiiForums Tanzania Chuchu za mwanaume

    Sijui umewaza nini mkuu
  4. M

    JamiiForums Tanzania Katika dhana ya mgawanyo wa madaraka, ni sahihi mbunge wa kuteuliwa awe na sifa ya kuwa Spika au Naibu Spika?

    Ndugu soma katiba ya Jamuhuri toleo la 2005 spika na Jaji mkuu walishaondolewa. Using'ang'anie ya zamani.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katika dhana ya mgawanyo wa madaraka, ni sahihi mbunge wa kuteuliwa awe na sifa ya kuwa Spika au Naibu Spika?

    Hakuna katika katiba mahali panamtambua spika Kama miongoni kwa watakao kaimu nafasi ya Rais Kama hayupo
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuongezeka kwa ushoga na usagaji Tz nini chanzo?

    Tumefika kubaya
  7. M

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa dini mmeona? Sasa mlilieni Mungu kitaeleweka tu.

    Dalili mbaya hii ya kuanza kutukana maaskofu. Sio sawa kabisa wakosoe kwa hoja zao. Kumbuka viongozi wa dini ndio wanaotuombea
  8. M

    JamiiForums Tanzania Siri nzito yafichuka kuhusu waraka wa Kanisa Katoliki

    Umesikia mahubiri ya askofu Dallu Jana?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kuhusu toyota brevis 2500cc

    Naona wanatutisha Tu. Gari naielewa Sana hiyo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tabata ndo inaongoza kwa usodoma na ugomora

    Mambo yamebadilika Sana. Mungu aepushe
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baada ya kuona chatting za kunisaliti za mke wangu, Bosi aingiwa na huruma asema Jumatatu nisisafiri ili nimfumanie

    Ndoa zina mitihani. Pole bro Mungu asaidie yapite salama
  12. M

    JamiiForums Tanzania Simu za Nokia orginal mpya bei chee kabisa

    Unayo nokia 110?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke umri miaka 25 hadi 32

    Hapana siko hivyo kabisaa
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke umri miaka 25 hadi 32

    Usitake unayoyapenda wewe kila mtu ayaseme. Kila mtu Ana maoni yake. Huyo unayedhani nimemuacha mimi hujui Tu. Mengine hatuandiki yote hapa sio mahala pale kama unataka njoo pm
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke umri miaka 25 hadi 32

    Alishaolewa Ana maisha yake
Back
Top Bottom