Asante kwa mrejesho, hiyo namb nloandika hapo ni ya kwangu mim, mwanzon nlieka yake ila kutokana na changamoto imebidi niweke ya kwangu, maana wapo wenye kulichukulia tatizo LA wenzao in positive Way, lakn wengine tofauti. Bado anahitaji kibarua, kama bado upo na mahitaji ya huyo mtu naomba...