Recent content by muddy lipemba

  1. muddy lipemba

    Mpenzi wangu hataki tushirikiane kimapenzi hadi tumalize Chuo

    Achan na mapenz ya kshamb,usipotez mda wako kubembelez san kam unaomb kaz,dem anayekupend lazma awe na hurum ya kmahaba yan lazma akuonjesh chumv yake ili umpend zaid,sasa ww kaa ugum wanzako wanakul tu huyo hakupend.
  2. muddy lipemba

    Niulize chochote kuhusiana na biashara, masoko na mauzo

    Vp kuhusu soko la ndiz mbich znazotoka mikoan kuja dar lipo vzur au n kitendawil pale mabibo.
  3. muddy lipemba

    Ushauri: Mwanangu wa kiume uume (mashine) haisimami, mama yake kashauriwa amuonyeshe nyeti kumtibia

    Mfunike uso,mweke kweny chumba cha peke yake,mdanganye kuna mtu atakuja kukutibu ili upone,jifanye kama unatoka hv na kukaa kama dk 10 bila kusahau kujisafisha na kujipulizia marash ambayo mwanao hatakuja kupata harufu yake tena kutoka kwako,kisha rudi pale alipo na umpe KITUMBUA.Jtahid...
  4. muddy lipemba

    Mo Salah: Mchezaji bora anayepoteza muda wake Liverpool

    Kabla hajaja kupoteza muda lfc je,ulikuw unaujua ubora wake ambao anao sasa?Hv n nan aliyefany Sarah ajiamin na kucheza sok la kuvutia kama c lfc na fans wake? Bac mwache apoteze muda maana hata ww wako unapotea kwa kumjadil yeye kweny kaz zake.Mind your business.
  5. muddy lipemba

    RUVUMA: Dkt. Vincent Mashinji na viongozi 8 wa CHADEMA wapandishwa kizimbani, wanyimwa dhamana

    Nafikir bado hujajtambua nafac yako n ipi kwa sasa kama mtz,ikifka zamu yako ucje kulalamika maana ucfikir polic na ccm wana ujamaa na ww Sent using Jamii Forums mobile app
  6. muddy lipemba

    Sirro: Waandishi wa habari acheni kutisha wananchi juu ya mauaji ya Kibiti ili muuze magazeti

    Kwa hiyo watu waendelee kufa kimya kimya c ndio hivyo?Naona uliweka itikad za kisiasa mbele wakat unachangia mada hii.
  7. muddy lipemba

    Sirro: Waandishi wa habari acheni kutisha wananchi juu ya mauaji ya Kibiti ili muuze magazeti

    Waandish wanatutsha nn tena mbona kamanda hatukuelew,yan kwa hili hatuwez kukuelewa kabsa.Yan tufafanulie kamanda wanatsha vp wananch au ulitaka wafiche ili isionekane jesh la police kuna udhaif flan hiv kuhusu suala hili?Nina mashaka
  8. muddy lipemba

    Wanachama wa CCM Ruvuma wacheza ngoma kumpongeza Magufuli!

    Yan huko ruvuma ndio mambumbu yan mkoa upo nyuma kama mkia
  9. muddy lipemba

    Msigwa nae kaja na kijembe cha mwaka

    Sawa mweny akili za makinikia,maana c kosa lako
  10. muddy lipemba

    Rais Magufuli: Sitasomesha Wanafunzi waliopata ujauzito, siwezi kusomesha Wazazi

    Mama samia anasemaje kuhusu hili? Maana kuna cku ktk kuptapta mitandaon nkakuta chanzo flan hv et kmeandka mama anampango wa kuwafany watoto wa kike waliopata ujauzto warud shulen,sasa hii imekuaje jaman? Wacha m nbak neutral sina tim
Back
Top Bottom