Sirro: Waandishi wa habari acheni kutisha wananchi juu ya mauaji ya Kibiti ili muuze magazeti

Kama ambavyo vurugu za wakulima na wafugaji zilivyozimwa na hili nalo pia limefika.
Bila shaka vyombo vya habari ndivyo vinakuza sana mambo,mbona wakulima na wafugaji wamepatana na hakuna tena uhasama baina yao wala vurugu tena.
Huko kibiti waache kabisa kuripoti,labda mpaka polisi wenyewe watakapotoa taarifa , amini nawaambia mauaji yatakoma maana promo haitakuwepo tena.
mkuu kutosikia habari za wakulima na wafugaji sio kwamba matukio hayatokei ni vile hawayalipoti ila yapo na yanaendelea

kutoyasikia (kupiga biti kuyaanika ) hakufanyi haya matukio kutokuwepo
 
Yaani sirro bado ana mentality kama zile alizokuwa nazo wakati akiwa commander wa special zone ya dsm
 
Waandish wanatutsha nn tena mbona kamanda hatukuelew,yan kwa hili hatuwez kukuelewa kabsa.Yan tufafanulie kamanda wanatsha vp wananch au ulitaka wafiche ili isionekane jesh la police kuna udhaif flan hiv kuhusu suala hili?Nina mashaka
 
Sirro banaa. Mwisho wa siku itapigwa ban kuandika kuhusu Kibiti. Yaani habari za Kibiti zitakuwa treated kama "kifaru cha Jeshi". No kujadiriwa
 
Kama ambavyo vurugu za wakulima na wafugaji zilivyozimwa na hili nalo pia limefika.
Bila shaka vyombo vya habari ndivyo vinakuza sana mambo,mbona wakulima na wafugaji wamepatana na hakuna tena uhasama baina yao wala vurugu tena.
Huko kibiti waache kabisa kuripoti,labda mpaka polisi wenyewe watakapotoa taarifa , amini nawaambia mauaji yatakoma maana promo haitakuwepo tena.
Kwa hiyo watu waendelee kufa kimya kimya c ndio hivyo?Naona uliweka itikad za kisiasa mbele wakat unachangia mada hii.
 
Siyo kwamba wanawatisha tatizo ni kwamba hamtaki kusikia ukweli, nini maana ya kuteuliwa kuwa IJP, ni mauaji ya pili toka uingie madarakani lakini hakuna hata kitu kimoja alichokwisha kifanya
 
Halafu anaambiwa ukweli anasema waandishi wasiwatishe wakati anajua ya kuwa watu wanapoteza maisha kila siku, nafikiri siku moja aje auliwe kiboss fuani nndo mtajua
 
Kupashana kwa zama hizi huwezi kukataza Yeye ndiye afanye kazi badala ya kuwa 'behind the mics and cameras' hatufurahii Mauaji haya 'Akubari kwamba hawa ni Magaidi' He has to take Drastic measures
 
Kama ambavyo vurugu za wakulima na wafugaji zilivyozimwa na hili nalo pia limefika.
Bila shaka vyombo vya habari ndivyo vinakuza sana mambo,mbona wakulima na wafugaji wamepatana na hakuna tena uhasama baina yao wala vurugu tena.
Huko kibiti waache kabisa kuripoti,labda mpaka polisi wenyewe watakapotoa taarifa , amini nawaambia mauaji yatakoma maana promo haitakuwepo tena.
Mkuu una hakika wamepatana wakulima na wafugaji...sio kwasababu hawajaripoti maana yake wamepatana...mbona mifugo inauliwa tu
 
Back
Top Bottom