Mpenzi wangu hataki tushirikiane kimapenzi hadi tumalize Chuo

Goti la samaki

Senior Member
Jan 3, 2018
144
76
Natanguliza shukrani zangu za dhati kwenu,

Kama kichwa cha habari kinavojieleza. Naombeni ushauri, nina mpenzi wangu leo mwaka wa pili hatujawahi kushirikiana kimapenzi anasema hadi tumalize chuo, anadai yeye ni bikra. Sasa hivi tupo Second Year.

Je, niachane nae nichukue chombo kipya First Year au niendeleee nae?
 
Acha ujinga kijana huyo demu nina uhakika asilimi 1000000 kwanza si bikra,.pili kuna mwana wake anamla vizuri sana tu me nilipga chni sababu ya ujinga kama huo haikupita mwezi nkaanza kupata habari za uhakika kuna mwana anajilia toka kitambo tu afu mademu wa hvyo wanakuwaga wale mnaznguana leo kesho unashangaa mnadate tena na pus hakupi ukitaka kumuacha kuwa serious tafuta demu mwingne hapo chuo,

IMEISHA HIYO JAPO NAJUA KWA UBOYA WAKO UTAENDELEA KUKOMAA
 
Demu wangu wa A Level alinidanganya bikra. Kabla ya siku ngapi hatujaenda kugusanisha akaiomba samahani kwa kunidanganya, akadai alinambia mapema maana hakujua kama tuta-date.

Mwingine nimekuwa nae before kuja chuo vile vimiezi vingapi akadai bikra, nikaenda kuitoa hamna kitu. It seems amefanya mara chache but hakuwa nayo. Huyo hadi leo anajua mimi ni kilaza naamini kuwa nilimkuta nayo, hajui mi regend niliamua kuokoka.

Mwingine niko nae sasa chuo, sijamtaka wala nini ila kanambia anayo. Sijui nimfatilie.
Nalenga kukupa mwongozo kupitia experience lakini sikupi ushauri. Utajua wewe.
 
Back
Top Bottom