Recent content by mucho886

  1. mucho886

    NATO: Russian warplanes send 'great power' message

    Ndugu yangu ufaransa na UK ni moja ya nchi za ulaya lakini siyo nchi za kuchezewa wamekaa vizuri sana.. Wakiungana wawili tu hao urusi haiwezi kufanya kitu
  2. mucho886

    Ngazi ya mishahara

    Wadau habari zenu.. Naomba kuuliza ngazi ya mshahara serikalini PTSS 10-1 tutors ni sawa na sh ngapi kwa mwezi?
  3. mucho886

    Utumishi wameita kazini, Nimekosa tena

    Ndugu yangu pole sana, i can imagine how much it pains coz i went thru the same problem... Na mim tangu 2011 nilikuwa natafuta ajira nakwambia nimepata ajira juzi, nimepata barua kutoka utumishi niripoti kazini immediately.. Lakini cha ajabu tangu hiyo 2011 nilikuwa natuma barua lakini sitwi...
  4. mucho886

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Mbowe na Slaa waachie madaraka, siyo lazima waendelee kugombea ndo chadema iendelee.. Wapo viongozi wengi wenye uwezo watachaguliwa..
  5. mucho886

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Kwani chadema ni ya Mbowe au dr. Slaa? Hahaaaaa pole sana naona uharo unakutoka, chadema ni ya watanzania wote wapenda mabadiriko.. Siyo lazima mbowe au slaa agombee tena
  6. mucho886

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Kama hawataitisha mkutano basi Mbowe na slaa hawagombei tena... Tumewachoka miungu watu
  7. mucho886

    Msajili wa vyama vya Siasa Jaji F. Mutungi amzuia Mbowe kugombea uenyekiti tena

    Ikiwa Mbowe na Slaa wanang'ang'ania madaraka je wakipewa nchi si watanadiri vipengele kwenye katiba na kufia madarakani kama akina Mugabe, Museveni, na wengineo? Mbowe na dr. Slaa wananajisi demokrasia, waondoke maana chadema siyo saccos bali ni taasisi ambayo ina accomodate watu mbali mbali...
  8. mucho886

    Hongera mhe. James Mbatia, Umeonesha njia kwa CHADEMA

    Mbona alipoteuliwa kuwa mbunge mlikuwa mnadai ni kibaraka wa CCM, leo hii mnamuona mtu wa maana? Ama kweli politics ni dirty game
  9. mucho886

    Maajabu ya Nchi ya VATICAN

    Uswiss kuna jeshi mkuu
  10. mucho886

    Zitto:Wizara ya Nishati imezoea kuzusha tuhuma

    Stupid kweli wew.. Kama we ni kijana we ni bogus. A dull of mind
  11. mucho886

    Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

    Kosa limeshafanyika, kama ni dhambi ameshalichuma, itabidi atubu na wew utoe msameha wa dhati...
  12. mucho886

    Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

    Kama unamuogopa Mungu msamehe mwenzako, kwanini ufanye yako kimya kimya? Kwani ww hukosei? Kuna mtakatifu hapa duniani? Iyo ni roho mbaya
  13. mucho886

    Yamenikuta, wife akuta condom kwenye suruali yangu

    Hahahaaaaaaa umeniacha hoi, duh uongo uliotukuka
Back
Top Bottom