Zitto:Wizara ya Nishati imezoea kuzusha tuhuma

Wizara ya Nishati imezoea kuzusha tuhuma kwa wabunge ili kukwepesha hoja za msingi. Mwaka huu wamenoa. Nawashukuru sana wabunge Chris Ole Sendeka na David Kafulila kwa kusimama imara bila woga kuhusu hoja ya Tegeta Escrow. Mbinu za Katibu Mkuu Maswi za kugawa wabunge kwa kuzusha tuhuma za kuokoteza zimeshindwa. Uchunguzi wa tuhuma za tshs 200 bilioni lazima ufanyike. Tusivalishwe miwani za mbao kwa mambo ya uzushi. Uchunguzi ndio utatoa ukweli. Kwanini mnakimbia uchunguzi?
Chanzo:Zitto Kabwe FB wall
Kama hizo hela ni za IPTL na zilikua BoT kwamba atakaekua halali yake apewe,... Sasa kama mahakama kuu imeamua zitoke kelele za nini kama sio kutafuta umashuhuri tu. Muhongo sio muongo wacheni unafiki!
 
Naibu waziri wa Nishati na Madini Mh.Steven Masele ametoa tuhuma nzito bungeni akimuhusisha balozi wa Uingereza nchini kwa tuhuma za Rushwa kuhusiana na sakata la IPTL na pia kufanya ujasusi na kudai kuwa balozi anatakiwa kuchukuliwa hatua huku akimtaka akajieleze wizara ya mambo ya nje.

Hizi ni tuhuma nzito kabisa na ujasusi ni kinyume cha sheria za nchi na sheria za kimataifa.Waziri Masele amewatangazia Watanzania na Dunia kuwa Uingereza sio nchi rafiki kwa Tanzania na ni adui mkubwa anayehujumu uchumi wa nchi yetu.

Ni kinyume na kifungu namba 6 cha sheria ya kuzuia Rushwa sura y 329 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2002 ikisomwa pamoja na aya ya 1 jedwali la kwanza ikisomwa na aya vifungu 57(1) na 60 vyote vya uhujumu uchumi na uhalifu uliopangwa sura ya 200(Iliyofanyiwa Mapitio mwaka 2002).

Mkataba wa kimataifa Vienna unaoshughulikia muhusiano ya kidiplomasia wa Mwaka 1961(Vienna convention on diplomatic relations 1961) katika ibara ya 41(1) unakataza mabalozi na wanadiplomasia kuingilia masuala ya ndani ya nchi wenyeji na pia kutimiza wajibu wa kuheshimu kinga ya kidiplomasia .

Tuhuma za ujasusi na Rushwa ni tuhuma nzito zinazokiuka ibara hii na pia zinavunja sheria za nchi mwenyeji(Host Country) .

Ni makosa ya jinai kujihusisha na utoaji na upokeaji wa Rushwa na mbaya zaidi kufanya ujasusi. Ibara ya 29 ya mkataba huo huo wa Vienna inatoa kinga kwa wanadiplomasia kushotakiwa kwa kesi za kiraia au za jinai(Immune from Civil and Criminal Prosecution) labda kama ibara ya 32 ya mkataba huo huo itatumika kumuondolea kinga.

Anachosema Waziri Masele ni kuwa Balozi wa Uingereza anastahili kufukuzwa nchini kwa kutumia ibara ya 9 ya mkataba huo huo wa Vienna na kumtangaza kuwa ni mtu asiyetakiwa nchini (Persona non grata)? Uingereza ni wahisani wakubwa wa bajeti ya nchi yetu na pia ni wafadhili wa mradi wa umeme vijijini REA ambako wamechangia Paundi 71 Milioni.

Ni lazima ufisadi wa IPTL uwaguse maana Uingereza wanatumia fedha za walipa kodi wao kuifadhili serikali ambako Mafisadi wamekwapua kwa maslahi binafsi. Pia benki ya Standard Chartered ni Benki ya Uingereza na ni wajibu wa Balozi katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kufuatilia kwa karibu sakata hili.Kazi ya Balozi ni kufuatilia na kuhamasisha au kutoa msaada kwa makampuni na wafanyabiashara kutoka nchi yake wanapokua na changamoto bila kuvunja sheria za nchi husika au sheria za kimataifa.

Ni jambo la ajabu kuwa Waziri anatoa tuhuma Bungeni na kumuamuru Balozi akajieleze wizara ya mambo ya nje.Wizara ya Mambo ya nje kupitia mwanadiplomasia mkuu (Top Diplomat) ambaye ni waziri wa Mambo ya Nje ndiye aliyetakiwa kufanya mashauriano na Balozi kuhusu tuhuma hizo na sio kauli za kihuni zinazoweza kuharibu mahusiano ya kihistoria kati ya Uingereza na Tanzania.

Miaka Michache iliyopita Uingereza kupitia shirika la SFO waliweza kuthibitisha nia njema kwa Tanzania katika kulinda raslimali zetu kuliko tunavyoweza kuzilinda wenyewe kwa kupigania na kurudisha mabilioni ya fedha yaliyoibiwa wakati wa ununuzi wa Rada ya Kijeshi,shukrani kwa Bi.Claire Short aliyesimama kidete kuhakikisha Fedha za walipa kodi wa Tanzania maskini zinarudishwa nchini wakati ambao viongozi wetu tuliowachagua walionekana kutokua na moyo wala ari ya kushughulikia Tatizo hilo.

Sasa natoa Rai kwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe atoe Msimamo wa Serikali kuhusu tuhuma hizi za kushtua na zinazoweza kuharibu mahusiano ya kihistoria kati ya wananchi wa Tanzania na Uingereza
 
Naomba nikupe darsa, wewe na wengineo hasa akina Pasco wapinzani wa wabunge kutoka nje. Na mimi naunga mkono, ni sahihi wanavyofanya.

Asante.
Mkuu Mzito K, kwanza asante kwa kumbukumbu!. Naomba nikuweke sawa kuwa kuna tofauti kati ya kutoka nje, na kususa!. Walk Out! na boycot. Naunga mkono walk out as a sign ya protest!, siungi mkono kususa jumla, kisha kuomba kwenda kunywa juice, chai na vitafunwa, wakishashiba wanarudi!.

Nilisema ukisusa, susa only if huo msuso wako will make a diference na sio unasusa ili tuu watu waone umesusa and at the end of the day, you end up with nothing!, a looser!.

Nilipinga ule msuso wa kususia kuhudhuria kutangazwa matokeo ya urais na "kutomtambua rais!", kila mtu anafahamu fika kuwa the "playing field is not level!", unajisajili kuingia kwenye mechi wakati unaelewa fika "the "playing field is not level!" refa ana anawaita wachezaji wa timu zote na kuwashauri muweke "rules of the game!", mnaweka rules of the game, mnasaign, unaingia kwenye game, unapigwa!, unatoka unalia, unasusa "eti the game was not fair!. Unatumia formular ile ile, watu wale wale, game ile ile, refa yule yule, ukitegemea matokeo tofauti, utakuwa ni mwenda wazimu!. The right way ni kulazimisha kipenga kisipulizwe mpaka uwanja uwe sawa. Usipoingiza timu uwanjani, mechi haitachezwa, hivyo kutakuwa hakuna mshindi kwa sababu hukuna ushindi wa mezani bila game, na utasikilizwa na ndipo ueleze no more playing games until when the playing field is level. Haya yanafanyika kabla hujakubali ku sign th rules of the game!.

Wapinzani wako uwanjani kwa zaidi ya miaka 20 sasa, wanaelewa fika the playing field za game la siasa nchi hii is not level, lakini bado wanapeleka timu uwanjani, wanasign the rules of the game, kipenga kinapulizwa, mchezo unaanza, wanachezewa rafu na refa yule yule, wanakula kipigo kile kile, mwisho wa siku, eti ndio wanayakataa matokeo na kususia kutangazwa kwa matokeo, na yakishatangazwa, wanatoa kauli hawayatambui matokeo hayo, hawamtambui mshindi huyo, na hivyo kususia party ya ushindi!, lakini baada ya sherehe, wanazunguka kwa mlango wa nyuma, na kuomba kulamba japo makombo, ya juice, chai na vitafunwa!, huku wakishake hands with broad smiles na "yule wasiyemtambua!" what?!.

Sasa jana wamesusa wakati taratibu za kibunge ukiishawasilisha hutuba ya kambi ya upinzani ndio umekamilisha zoezi la mchakato kujadili bajeti!.

Naamini Wapinzani walijifungia kwenye vyumba vyao hotelini mwao, au kwa pamoja au mmoja mmoja na kusikiliza majibu ya Prof. (Kiburi, Jeuri, Madharau, Majisifu, Makujisikia), Mhongo huku wametulia tuli kama wanadungwa sindano ya dozi, na dosi iliwaingia!. Bajeti imepita, ndio inayotekelezwa 2014/15!.

Kiukweli, upinzani wa kweli Tanzania bado!, hata huu UKAWA, seriously, unahitaji kusaidiwa haswa!, vinginevyo 2015 ni CCM Tena!.
Pasco
 
Hivi kwa Bunge hili na uspika wa Anna Makinda hii kambi ya upinzani ingeibana vipi Serikali?

Ukisema hivi basi wangesusia toka bunge linaanza, kwanini kwa bajeti ya wizara hii pekee? Suala la IPTL liliibuliwa mwanzo kabisa wa bunge na uamuzi kufanyiwa ukaguzi na CAG na Takukuru kutolewa, kama hawakuridhika na maamuzi yale kwa nini hawakususia bunge wakati ule.
 
Uingereza ni wahisani wakubwa wa bajeti ya nchi yetu na pia ni wafadhili wa mradi wa umeme vijijini REA ambako wamechangia Paundi 71 Milioni.

Ni lazima ufisadi wa IPTL uwaguse maana Uingereza wanatumia fedha za walipa kodi wao kuifadhili serikali ambako Mafisadi wamekwapua kwa maslahi binafsi. Pia benki ya Standard Chartered ni Benki ya Uingereza na ni wajibu wa Balozi katika utekelezaji wa Diplomasia ya Uchumi kufuatilia kwa karibu sakata hili.Kazi ya Balozi ni kufuatilia na kuhamasisha au kutoa msaada kwa makampuni na wafanyabiashara kutoka nchi yake wanapokua na changamoto bila kuvunja sheria za nchi husika au sheria za kimataifa.

Ni jambo la ajabu kuwa Waziri anatoa tuhuma Bungeni na kumuamuru Balozi akajieleze wizara ya mambo ya nje.Wizara ya Mambo ya nje kupitia mwanadiplomasia mkuu (Top Diplomat) ambaye ni waziri wa Mambo ya Nje ndiye aliyetakiwa kufanya mashauriano na Balozi kuhusu tuhuma hizo na sio kauli za kihuni zinazoweza kuharibu mahusiano ya kihistoria kati ya Uingereza na Tanzania.

Miaka Michache iliyopita Uingereza kupitia shirika la SFO waliweza kuthibitisha nia njema kwa Tanzania katika kulinda raslimali zetu kuliko tunavyoweza kuzilinda wenyewe kwa kupigania na kurudisha mabilioni ya fedha yaliyoibiwa wakati wa ununuzi wa Rada ya Kijeshi,shukrani kwa Bi.Claire Short aliyesimama kidete kuhakikisha Fedha za walipa kodi wa Tanzania maskini zinarudishwa nchini wakati ambao viongozi wetu tuliowachagua walionekana kutokua na moyo wala ari ya kushughulikia Tatizo hilo.

Sasa natoa Rai kwa Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Bernard Membe atoe Msimamo wa Serikali kuhusu tuhuma hizi za kushtua na zinazoweza kuharibu mahusiano ya kihistoria kati ya wananchi wa Tanzania na Uingereza
Mkuu Ben, kiukweli kwenye hili, naungana na wewe, tuhuma zile za jana ni mzito, hazikupaswa kufanywa na Mhe. Stephen Masele tena of all the places bungeni!, OMG!.

Sio tuu lilikuwa ni jukumu la Masele kuzipeleka tuhuma hizo kwa Membe ili MFI ndio izishughulikie, bali pia sio kiuwazi kivile!, Masikini Masele!, nadhani aliishaamua liwalo na liwe!, amemuweka JK katika wakati mgumu kabisa, ambapo there is no any other way out, au kutunishia Uingereza misuli ya "sovereignty" ya Tanzania, kumfukuza Balozi wa Uingereza na maybe in future kukatiwa misaada yote mingine isipokuwa ya kibajeti (hii imesainiwa, haiwezi kuondolewa), au kulazimika kumfanya Masele ndio "Mbuzi wa Kafara", hivyo kupitia Waziri Membe, Jumatatu, atatoa "Taarifa ya Serikali Bungeni" kuipinga taarifa ya Masele, na humo "ataisifu Uingereza mpaka!", na hili litafanyika kabla serikali ya Uingereza keleta "a demand note" to seek explanations za kidiplomasia kuhusu kilichosemwa Bungeni!.

Niliwahi kuwatumikia Waingereza pale Umoja House, japo leo sio siku ya kazi, lakini kwa taarifa ile ya Masele jana pale bungeni, nadhani tangu jana ilele, kulikuwa ni hakuna kulala!, ile Video clip itakuwa iliisha tafutwa usiku usiku na kupatikana, na kutumwa kwa their "oficial translator" kujua Masele alisema nini haswa!, leo ni kazi kwa baadhi ya maofisa wao, akiwemo "Mshauri wao wa Siasa", by Monday, taarifa rasmi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza itatua mezani kwa Membe!, na si ajabu by next week, yule Mama Balozi, akabisha hodi Ikulu, kupeleka barua ya Kameruni kwa JK!, na mtashuhudia jinsi JK akiomba misamaha!, kiukweli ukiwa "a beggar!" ni kazi kweli kweli!.

Lets wait and see!.

NB. Kwako wewe Mkuu Ben,
Nakiri Ben, you are an intelligent young man, na niliwahi kuandika mahali kuhumu kukuhusu wewe na Bavicha kuwa ni "jiwe walilolikataa waashi" pale mwanzo!, uchaguzi ujao "litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!" kama inteligence hii ungeitumia kwa maslahi makubwa ya chama na taifa kama ulivyofanya kwenye thread hii!. You have to stop abusing matumizi ya iteligence yako kwenye siasa za "maji taka" ndani ya Chadema, usikubali kutumika tena kama dekio, kama kwenye ile issue ya "sumu ya panya", (if at all it was true), ila hata kama sio kweli, you are a gentlemen, a gentlemen akipata taarifa zozote zinazomfikia in confidence, huzisambaza ki gentlemen na sio kuzimwaga tuu au kuzitapakaza kama ulivyofanya kwenye ile role yako ndani ya lile kundi lenu!. You are far much better than that!, Tanzania ni nchi yetu sote, Chadema ni just a chama tuu!, una uwezo mkubwa zaidi wa kuwatumikia Watanzania kupitia Chadema kwa kutanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa, kuliko kutumika na "wasaka tonge" wenu wa ndani kwa ndani!.

Sorry for this, mimi Pasco wa JF nina tatizo moja kubwa, niko very frank to speak my mind, na kwenye ukweli, nasimama na ukweli huo, no matter ukweli huo, utamuumiza nani, that is the truth na ukweli siku zote unabaki kuwa ni ukweli tuu, Ben you are Good!, stop the "bad" and the ugly", its the goodness in you that will take you there, will lift you up, and make you reach there!.

Pasco
 
Mkuu Ben, kiukweli kwenye hili, naungana na wewe, tuhuma zile za jana ni mzito, hazikupaswa kufanywa na Mhe. Stephen Masele tena of all the places bungeni!, OMG!.

Sio tuu lilikuwa ni jukumu la Masele kuzipeleka tuhuma hizo kwa Membe ili MFI ndio izishughulikie, bali pia sio kiuwazi kivile!, Masikini Masele!, nadhani aliishaamua liwalo na liwe!, amemuweka JK katika wakati mgumu kabisa, ambapo there is no any other way out, au kutunishia Uingereza misuli ya "sovereignty" ya Tanzania, kumfukuza Balozi wa Uingereza na maybe in future kukatiwa misaada yote mingine isipokuwa ya kibajeti (hii imesainiwa, haiwezi kuondolewa), au kulazimika kumfanya Masele ndio "Mbuzi wa Kafara", hivyo kupitia Waziri Membe, Jumatatu, atatoa "Taarifa ya Serikali Bungeni" kuipinga taarifa ya Masele, na humo "ataisifu Uingereza mpaka!", na hili litafanyika kabla serikali ya Uingereza keleta "a demand note" to seek explanations za kidiplomasia kuhusu kilichosemwa Bungeni!.

Niliwahi kuwatumikia Waingereza pale Umoja House, japo leo sio siku ya kazi, lakini kwa taarifa ile ya Masele jana pale bungeni, nadhani tangu jana ilele, kulikuwa ni hakuna kulala!, ile Video clip itakuwa iliisha tafutwa usiku usiku na kupatikana, na kutumwa kwa their "oficial translator" kujua Masele alisema nini haswa!, leo ni kazi kwa baadhi ya maofisa wao, akiwemo "Mshauri wao wa Siasa", by Monday, taarifa rasmi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza itatua mezani kwa Membe!, na si ajabu by next week, yule Mama Balozi, akabisha hodi Ikulu, kupeleka barua ya Kameruni kwa JK!, na mtashuhudia jinsi JK akiomba misamaha!, kiukweli ukiwa "a beggar!" ni kazi kweli kweli!.

Lets wait and see!.

NB. Kwako wewe Ben. Nakiri Ben, you are an intelligent young man, na niliwahi kuandika mahali kuhumu kukuhusu wewe na Bavicha kuwa ni "jiwe walilolikataa waashi" pale mwanzo!, uchaguzi ujao "litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!" kama inteligence hii ungeitumia kwa maslahi makubwa ya chama na taifa kama ulivyofanya kwenye thread hii!. You have to stop abusing matumizi ya iteligence yako kwenye siasa za "maji taka" ndani ya Chadema, usikubali kutumika tena kama dekio, kama kwenye ile issue ya "sumu ya panya", you are far better than that!, Tanzania ni nchi yetu sote, Chadema ni just a chama tuu!, una uwezo mkubwa zaidi wa kuwatumikia Watanzania kupitia Chadema kwa kutanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa, kuliko kutumika na "wasaka tonge" wenu wa ndani kwa ndani!.

Sorry for this, mimi Pasco wa JF nina tatizo moja kubwa, niko very frank to speak my mind, na kwenye ukweli, nasimama na ukweli huo, no matter ukweli huo, utamuumiza nani, that is the truth na ukweli siku zone unawake kuwa ukweli, Ben you are Good!, stop the "bad" and the ugly", its the goodness in you that will reach you there!.

Pasco

Ndugu Pasco na ndugu Ben katika eneo hili la mh.Masele mmetupa mwanga juu ya diplomasia ya kimataifa.Ahsanteni.
 
Wizara ya Nishati imezoea kuzusha tuhuma kwa wabunge ili kukwepesha hoja za msingi. Mwaka huu wamenoa. Nawashukuru sana wabunge Chris Ole Sendeka na David Kafulila kwa kusimama imara bila woga kuhusu hoja ya Tegeta Escrow. Mbinu za Katibu Mkuu Maswi za kugawa wabunge kwa kuzusha tuhuma za kuokoteza zimeshindwa. Uchunguzi wa tuhuma za tshs 200 bilioni lazima ufanyike. Tusivalishwe miwani za mbao kwa mambo ya uzushi. Uchunguzi ndio utatoa ukweli. Kwanini mnakimbia uchunguzi?
Chanzo:Zitto Kabwe FB wall

Udhaifu wa JK una tupeleka pabaya sana,kila kitu kinaenda kiudhaifu dhaifu tu.
 
Mkuu Ben, kiukweli kwenye hili, naungana na wewe, tuhuma zile za jana ni mzito, hazikupaswa kufanywa na Mhe. Stephen Masele tena of all the places bungeni!, OMG!.

Sio tuu lilikuwa ni jukumu la Masele kuzipeleka tuhuma hizo kwa Membe ili MFI ndio izishughulikie, bali pia sio kiuwazi kivile!, Masikini Masele!, nadhani aliishaamua liwalo na liwe!, amemuweka JK katika wakati mgumu kabisa, ambapo there is no any other way out, au kutunishia Uingereza misuli ya "sovereignty" ya Tanzania, kumfukuza Balozi wa Uingereza na maybe in future kukatiwa misaada yote mingine isipokuwa ya kibajeti (hii imesainiwa, haiwezi kuondolewa), au kulazimika kumfanya Masele ndio "Mbuzi wa Kafara", hivyo kupitia Waziri Membe, Jumatatu, atatoa "Taarifa ya Serikali Bungeni" kuipinga taarifa ya Masele, na humo "ataisifu Uingereza mpaka!", na hili litafanyika kabla serikali ya Uingereza keleta "a demand note" to seek explanations za kidiplomasia kuhusu kilichosemwa Bungeni!.

Niliwahi kuwatumikia Waingereza pale Umoja House, japo leo sio siku ya kazi, lakini kwa taarifa ile ya Masele jana pale bungeni, nadhani tangu jana ilele, kulikuwa ni hakuna kulala!, ile Video clip itakuwa iliisha tafutwa usiku usiku na kupatikana, na kutumwa kwa their "oficial translator" kujua Masele alisema nini haswa!, leo ni kazi kwa baadhi ya maofisa wao, akiwemo "Mshauri wao wa Siasa", by Monday, taarifa rasmi kutoka Wizara ya Mambo ya Nje ya Uingereza itatua mezani kwa Membe!, na si ajabu by next week, yule Mama Balozi, akabisha hodi Ikulu, kupeleka barua ya Kameruni kwa JK!, na mtashuhudia jinsi JK akiomba misamaha!, kiukweli ukiwa "a beggar!" ni kazi kweli kweli!.

Lets wait and see!.

NB. Kwako wewe Ben. Nakiri Ben, you are an intelligent young man, na niliwahi kuandika mahali kuhumu kukuhusu wewe na Bavicha kuwa ni "jiwe walilolikataa waashi" pale mwanzo!, uchaguzi ujao "litafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!" kama inteligence hii ungeitumia kwa maslahi makubwa ya chama na taifa kama ulivyofanya kwenye thread hii!. You have to stop abusing matumizi ya iteligence yako kwenye siasa za "maji taka" ndani ya Chadema, usikubali kutumika tena kama dekio, kama kwenye ile issue ya "sumu ya panya", you are far better than that!, Tanzania ni nchi yetu sote, Chadema ni just a chama tuu!, una uwezo mkubwa zaidi wa kuwatumikia Watanzania kupitia Chadema kwa kutanguliza mbele maslahi makubwa zaidi ya taifa, kuliko kutumika na "wasaka tonge" wenu wa ndani kwa ndani!.

Sorry for this, mimi Pasco wa JF nina tatizo moja kubwa, niko very frank to speak my mind, na kwenye ukweli, nasimama na ukweli huo, no matter ukweli huo, utamuumiza nani, that is the truth na ukweli siku zone unawake kuwa ukweli, Ben you are Good!, stop the "bad" and the ugly", its the goodness in you that will reach you there!.

Pasco

Aaah Pasco! cant believe this.. you too good to buy the the so called 'sumu ya panya' propaganda Ben is simply the best !! Cheo kitakuja tuu huwezi jua CDM na yeye majukumu waliyopsngiana for now. Keep it up Ben !!!
 
Kwa desturi na uzoeufu Nchi washenzi wa ccm wameshaiuza ila laana hiyo itawatafuna milele!
 
Mkuu Mzito K, kwanza asante kwa kumbukumbu!. Naomba nikuweke sawa kuwa kuna tofauti kati ya kutoka nje, na kususa!. Walk Out! na boycot. Naunga mkono walk out as a sign ya protest!, siungi mkono kususa jumla, kisha kuomba kwenda kunywa juice, chai na vitafunwa, wakishashiba wanarudi!.

Nilisema ukisusa, susa only if huo msuso wako will make a diference na sio unasusa ili tuu watu waone umesusa and at the end of the day, you end up with nothing!, a looser!.

Nilipinga ule msuso wa kususia kuhudhuria kutangazwa matokeo ya urais na "kutomtambua rais!", kila mtu anafahamu fika kuwa the "playing field is not level!", unajisajili kuingia kwenye mechi wakati unaelewa fika "the "playing field is not level!" refa ana anawaita wachezaji wa timu zote na kuwashauri muweke "rules of the game!", mnaweka rules of the game, mnasaign, unaingia kwenye game, unapigwa!, unatoka unalia, unasusa "eti the game was not fair!. Unatumia formular ile ile, watu wale wale, game ile ile, refa yule yule, ukitegemea matokeo tofauti, utakuwa ni mwenda wazimu!. The right way ni kulazimisha kipenga kisipulizwe mpaka uwanja uwe sawa. Usipoingiza timu uwanjani, mechi haitachezwa, hivyo kutakuwa hakuna mshindi kwa sababu hukuna ushindi wa mezani bila game, na utasikilizwa na ndipo ueleze no more playing games until when the playing field is level. Haya yanafanyika kabla hujakubali ku sign th rules of the game!.

Wapinzani wako uwanjani kwa zaidi ya miaka 20 sasa, wanaelewa fika the playing field za game la siasa nchi hii is not level, lakini bado wanapeleka timu uwanjani, wanasign the rules of the game, kipenga kinapulizwa, mchezo unaanza, wanachezewa rafu na refa yule yule, wanakula kipigo kile kile, mwisho wa siku, eti ndio wanayakataa matokeo na kususia kutangazwa kwa matokeo, na yakishatangazwa, wanatoa kauli hawayatambui matokeo hayo, hawamtambui mshindi huyo, na hivyo kususia party ya ushindi!, lakini baada ya sherehe, wanazunguka kwa mlango wa nyuma, na kuomba kulamba japo makombo, ya juice, chai na vitafunwa!, huku wakishake hands with broad smiles na "yule wasiyemtambua!" what?!.

Sasa jana wamesusa wakati taratibu za kibunge ukiishawasilisha hutuba ya kambi ya upinzani ndio umekamilisha zoezi la mchakato kujadili bajeti!.

Naamini Wapinzani walijifungia kwenye vyumba vyao hotelini mwao, au kwa pamoja au mmoja mmoja na kusikiliza majibu ya Prof. (Kiburi, Jeuri, Madharau, Majisifu, Makujisikia), Mhongo huku wametulia tuli kama wanadungwa sindano ya dozi, na dosi iliwaingia!. Bajeti imepita, ndio inayotekelezwa 2014/15!.

Kiukweli, upinzani wa kweli Tanzania bado!, hata huu UKAWA, seriously, unahitaji kusaidiwa haswa!, vinginevyo 2015 ni CCM Tena!.
Pasco

100% umenena
 
Wakati akiwa naibu katibu Mkuu CHADEMA ilisemekana ofisi zake zipo facebook na Twitter,sasa siku hizi haonekani bungeni ila matamko na majibu yake anachangia kupitia facebook,ofisi zake za bunge na vikao anavifanyia facebook siku hizi??!! Ugonjwa wa Shida Salum isiwe sababu,vinginevyo auguze kwanza aachane na kuchangia mijadala kwa kuvizia kupitia Facebook!!

Twende kwenye hoja achana na ZZK binafsi. Point ya zito ipo valid hata kama kaisemea chooni. Serikali ni lazima itoe majibu vinginevyo uchunguzi ufanyike.
 
Prof Muhongo aliwafumba midomo wakabaki wana duaa...
Prof. Anaiweza wizara ila kna vidudu watu ndani ya wizara
 
Back
Top Bottom