Nimeridhishwa na Ving'amuzi vya "EASY TV"

Hivi agents wake wanapatikana wapi kwa hapa dsm mana me nimeshindwa kununua credit mwezi wa tano sasa

By Piriton

Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza vocha zao. Nimehamia kigamboni hakuna mawakala kabisa.

Chukua no ya makao makuu hii watumie pesa kwa tigopesa then watakuwekea.0658688633.inapatikana wakati wa kazi tu.
 
Ukiondoa DSTV, EASY ndo king'amuzi kizuri kuliko vyote.

Mimi jana ndio nimechoka na hiki king'amuzi, jana nilikuwa nataka kutizama mpira UEFA DTV, niliwaona DK licky na mtangazaji wa DTV wakijadili mchezo kati ya MAN U sijui na timu gani tena, wakati wa mpira unaanza nashangaa badala ya kutuonyesha mpira walituwekea mziki hadi kilipo isha kipindi cha kwanza... wakarudi tena wachambuzi wa mchezo huo, ndipo nilipo kundua na jirani yangu anatizama huo mpira kupitia DTV ila yeye anatumia king'amuzi cha Startimes na mpira alikuwa anatizama full tofauti na mimi wa Easytv ambaye nilikuwa naonyeshwa uchambuzi tu wa mchezo ikifika time ya kuonyesha mpira na wekewa mziki ila wenye kisimbuzi cha startimes wanaendelea kuona mpira ..
 
Dah, mkuu mbona umenifanya niogope kununua hii kitu, labda hawana mkataba na DTV au startimes ndio wana hati miliki ya kuonyesha hizo mechi.
 
Usiogope mkuu inawezekana kabisa hawana mkataba nao kama ulivyo sema hapo juu
 
By Piriton

Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza vocha zao. Nimehamia kigamboni hakuna mawakala kabisa.

Chukua no ya makao makuu hii watumie pesa kwa tigopesa then watakuwekea.0658688633.inapatikana wakati wa kazi tu.

Bado wapo hawa easytv

CHAZA
 
Last edited by a moderator:
hawa jamaa bado wapo? Recommendation hapo juu bado valid? Wame expand nje ya Dar?
 
Nauza king'amuzi cha EasyTV.

Hakina Remote na Antenna.

Bei ni Tsh: 55,000/- tu.

Wako fiti sana hawa jamaa.

Kwa kujiamini kwao: hata hawajitangazi kabisa.

ImageUploadedByJamiiForums1461963086.079915.jpg
 
CHANNEL ZINAZOPATIKANA

ZA TANZANIA KWA MASAA 24

TBC, STAR TV, PULSE, CHANNEL TEN, ITV, EATV, TV TUMAINI, TRENET, C2C,

********************************

ZA AFRIKA 13 KWA MASAA 24
KBC-KENYA, NATION-KENYA, KTN-KENYA, CITIZEN-KENYA, TV MALAWI, UBC-UGANDA, AIT-NIGERIA, ZNBC-ZAMBIA, TPA-ANGOLA, RTNC-KONGO KINSHASA, TV MALAGASY, MBC-MAURITIUS, CRTV-CAMEROUN

***********************************

ZA KIMATAIFA 7 KWA MASAA 24

VOA, RUSSIAN TODAY, TV5, ABC, CCTV-9, DW-TV, UJALA-Documentary
HABARI 5 MASAA 24
BBC WORLD NEWS, ALJAZEERA, NOW NEWS, CNN, EURONEWS

***********************************************
MAISHA (LIFESTYLE) MASAA 24

LIFESTYLE ZIKO 2, MUZIKI ZIKO 2, DINI ZIKO 2, LUXE, FASHION, B4U MUSIC CHANNEL. 3ABN, MUSLIM
 
Za movie na katuni je? Wanayo cartoon network? HBO?
 
Hamna kitu hapa
 
Back
Top Bottom