NApata Picha jinsi gani, Russia walivyo na hofu kubwa sana dhidi ya marekani na washirika wake.US inaweza kuwashambulia kwa ghafla na hawana sapoti ya maana kule Asia.
Wakati mwingine Ukubwa wa Pua sio wingi wa makamasi: hoja hiii nai-apply kwa Russia. Ni kama mwezi umepita Waziri wa Russia alimwambia Bw. Putin kuwa Nchi yake haiwezi kumudu gharama alizopanga kuunda Vessels zenye viwanja vya ndege, ambapo kitakwimu inadaiwa wanayo moja tu wakati US inazo takriban 13. Plani ya Putin ilikuwa ifikapo 2006 waweze kuwa nazo za kutosha, Lakini UChumi hauruhusu.
Hili Putin analijua fika.
Kurusharusha ndege hovyo wakati mwingine ni ku-create hofu kwa Adui ili kuondoa uwezekano wa kushambuliwa
RUssia kiukweli imechoka sana.. anachofanya ni mikwara Mbuzi.
Western wanachofanya ni kueneza uongo wa kuonyesha kuihofia Russia lakini wakiwa wanampango wa kuibomoa.
Ikiwa RUssia haiogopi ulaya, siamini kuwa Ulaya na MArekani zinaiogopa RUssia vilevile. Tena Russia yuko peke yake katika hili. Ni upuuzi kuamini kuwa US inaogopa Russia. Wanachofanya ni kitu wanaita calculated Risk. Lakini uncertainty ipo vilevile.
NA vikianza vita Russia inaweza kuteketea kabla haijajipanga sawa sawa. Russia wanachofanya sasa ni kutengeneza Image kuwa wako fiti, ili west wasifikirie kuthubutu.
Na ni imani yangu China hawezi kuisapoti Russia kama itatokea Vita. KWani China ina deni kubwa la pesa kwa US.Na kama mchumi China ingependa deni lirudi.
Russia wako pathetic na hali ilivyo kwani ubabe wao unazeeka vibaya, na China inaonekana ku-take position taratibu. Na hili kwao ni aibu ambayo hawataki kui-face.
Pia nauchukulia ugomvi wa Russia na US unaletwa na Jasusi wa zamani Rais Putin, probable akiingia rais mwingine Wa Russia sera za Russia zinaweza kubadilika. Hali ni tofauti kwa sera za marekani ambazo hazi-change kutokana na mabadiliko ya uongozi.
Dunia ya Leo huwezi pigana vita kama huna hela.
NA wakopaji wanamkopesha yule waayemwona anauhakika wa kulipa faida kubwa. Russia kwa hili bado ni loser.
Russia kama ilivyo China amezungukwa na maadui kila kona.
Kijiographia pia Russia imezungukwa na maadui zaidi kuliko marafiki. mmoja wapo ni Japan, CHina ambo wana mgogoro wa mpaka. Na wangetaka kurudisha maeneo yao ya Zamani. Mtandao wa RUssia unahusisha vinchi vichanga na maskini, wakati mtandao wa US una nchi zenye nguvu kiuchumi na kitechnolojia.
Utakuta ndege alizorusha Russiandio Mwisho wa Sanduku. Yaani hana jipya tena.