Ni kweli gen parton vitu vingine sio vya kutangaza , mfano unaishi na majirani alafu hujui ni wazuri au wabaya unawatangazia umenunua bastora kama kuna adui yako kati ya hao majiran zako yeye atanunu s.m.g na mabom kabisa ili siku akitaka kukutoa jasho anakua anajua udhaifu wako, hivyo ni vyema...
Watanzania tunamidomo sana wana JF tunaongea kuchochea ujinga alafu kunawatu wanajifanya wanauchungu na taarifa za kutoka Congo hamna lolote hauwezi kuwa na uchungu kuliko walioko ,front line wanapigana walitoaga picha za ku edit kwamba askari wetu eti wanabaka mabinti congo kumbe uongo, mm...
Kipindi cha nyuma akina Mohammed ent walienda jkt wahindi kila aina ya wasomi sio uzalendo tu pia taifa letu vijana wanapenda kazi rahisi tu kunenepeana maofisini hata kuhamisha kiti ofisini hadi secretary yaani inapunguza uozo kwa hali ya juu maana ulele mama umezidi nakumbuka kipindi nilikua...
Mm sidhani kama tumenyanyaswa mm nafikiri huyu kagame ni binadam na anaweza akaongea chochote kwani mmesahau betina na mwili ule hua anamchimba bit zena wakati zena ndo strong zaidi kagame anatoka mlandiz anaenda dar na baiskeli rais jk ana gari tena subarru sasa nani atawahi kufika dar mbona...
Mtu anatetea watu wa mkoa wake na majimbo ya kwao kg nyinyi mnafikilia mbali sana wakuu msilete siasa kwenye majanga ya taifa, wakimbizi ni wengi sana bongo na wengine cwakimbizi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.