Ablessed
JF-Expert Member
- Mar 19, 2013
- 4,616
- 3,502
Huenda wanalitumia jina lake ili kuwafanya watu wahudhurie wengi sina uhakika na hili. Kwa mfano kuna huduma mbali mbali huwa zinatangazwa na ndani yake wanaweka mtu maarufu na ukienda siku ya kwanza hadi ya mwisho humuoni mtu huyo unaishia tu kuambiwa alikuja lkn alikua mkoa flani au watasema alipata dharula tusubiri mwakani. Tabia hii mimi huwa siipendi kabisa na nilishaga acha kuamini matangazo ni mpaka nione kwa macho au niambiwe aliyetangazwa leo alikuwepo kwenye huduma. So kwa mtazamo wangu huenda kweli huwa anatoa udhuru lkn hebu jiulize kwanini 5x hapo ndipo yalipo mashaka yangu.