Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

Tetesi: Mabinti wanabakwa JKT

Hizi ndio aftermath za kulazimisha watu kwenda JKT.
Na lazima pawe na mjadala wa makini wa jinsi ya kupunguza rushwa ya ngono sana sana kwa hawa maofisa (walimu,waajiri,wanajeshi..etc) nadhani kwa kufanya hivyo itapunguza tabia na mawazo ya wana dada kudhani wanaweza kupata haki zao kwa kutoa tunda.
 
Hii ni habari mbaya na ya kusikitisha sana. Naunga mkono sana kufufuliwa kwa JKT, na lengo la JKT kwa volunteers na compulsory groups ni jema sana pia. Hili halipingiki na hata mimi binafsi nitahakikisha watoto wangu wote ni lazima wapitie JKT. JKT ni shule nzuri sana ya maisha - adaptation!
Mimi nimepita JKT operesheni Kagera 1979. Sheria zipo za kuhakikisha usalama wa wanafunzi, ila kama zilivyo kila sehemu huwa zinavunjwa. Sikuwahi kusikia issue za wasichana kubakwa kipindi chote cha jeshi, ila........nilichokiona hakiwezi kutofautishwa na ubakaji hata kidogo kwa matokeo yake!!!
Mkufunzi akimtamani msichana atampa wakati mgumu sana hadi ampate ikiwa ni pamoja na adhabu asizostahili, kazi ngumu kupita kawaida, kumtafutia visa n.k. na mwishowe msichana atakubali yaishe. Wachache walikuwa tayari kuumia kuliko kumkubali afande. Nakumbuka incidence moja ambayo afande aliposhindwa kabisa kumpata msichana akamgeukia boyfriend wa msichana ambaye pia ni kuruta na kumsulubu bila sababu hadi kumsababishia ulemavu. Ilibidi tu kwa usalama wake boyfriend amkimbie yule msichana. Tumeyaona kwa macho lakini hapakua na utaratibu wa kuweza kulalamika popote humo kambini kwani ili kumwona mkuu wa kikosi ruhusa inatoka kwa wakufunzi hao hao. Bahati tu enzi hizo ukimwi haukuwepo tofauti na sasa.
Suluhisho la muda mfupi: Serikali itenganishe makambi ya wanawake na wanaume. Kambi za wanawake ziendeshwe na wakufunzi wa kike tu. Wakati hili linaendelea, kuwekwe taratibu zitakazohakikisha wakufunzi wanaowawekea wanafunzi "mazingira magumu" kwa sababu za binafsi wanawajibishwa ipasavyo ikiwa ni pamoja na kufikishwa Court-martial na kupewa adhabu zinazolingana na za makosa ya ubakaji! Hii ni pamoja na wanafunzi kuwekewa njia "nyeupe" ya kumwona mkuu wa kikosi mara wanapokumbwa na mazingira "magumu" yasiyohusiana na mafunzo, uwepo wa masanduku ya maoni kwenye kila kombania. Pia waangalie uwezekano wa kupandikiza activists wa human rights kwenye kila kambi ("makuruta profesheno") ambao watakuwa wanazungushwa kwenye makambi tofauti kila mwaka hadi hapo tutakapokuwa kwenye mstari unaotakiwa. Lakini umuhimu wa JKT kwa vijana wetu unabaki pale pale kuwa ni lazima. Tuliopita JKT tumeona gaps za generation ambayo haikupitia JKT!!!!!!
 
Kama anakunwa vizuri, na alikua hajawahi kukunwa, hawezi kuwaambia hata aende mama au shangazi. Hawa mabinti wa siku hizi kwa kupenda miteremko ni majanga.
 
Mimi pia sikuwa na shaka kabisa na wazo la JKT, kwa hakika nilisaidia kumhamasisha binti ajiunge huko. Lakini hizi taarifa tunazozipata sasa ndiyo zinatutia pressure sana. Na kwa hakika naamini ubakaji hauwezi kuwa ni ule wa kutumia ubabe, bali ni ule wa kutumia mbinu za mateso kwa binti hadi akubali. Jambo ambalo ni ubakaji pia, maana binti atafanya pasipo ridhaa yake. Haya makambi kwa hakika yanatakiwa yaweke utaratibu unaokubalika wa kuhakikisha kwamba hawa mabinti wanasaidiwa pale kunapokuwa na mazingira yenye shaka.
 
Haya masuala yalishasemwa sana kuwa yapo tangu hata kabla ya kusitisha rasmi mpangao wa JKT kwa wanafunzi. Kwa sasa hali itakuwa mbaya zaidi ukizingatia kuwa watoto wanaomaliza kidato cha 6 wengi ni wadogo na miili yao haiwezi kuhimili mikikimikiki ya jeshi. kwa sababu hiyo wengi hurubuniwa na maafande ili wasipewe kazi nzito. Huu mpango wa JKT kwa wanafunzi hautasaidia kuleta uzalendo bali kuchochea hasira za wanafunzi kwa serikali na chama tawala. nashauri wausitishe maramoja kuokoa kizazi cha vijana wa taifa hili.
 
Yah, ni lazima boss, na suala la kwenda jeshini ni kwa mjibu wa sheria. Kutokana na taratibu walizoziweka, huwezi kuingia chuo kikuu bila ya kupitia jeshini. Majina ya waliohitimu JKT tu ndiyo yatakayofikiriwa kwenye udahili wa chuo kikuu. Hii ni kulingana na taarifa tulizopewa wakati huo.

sio kweli
labda useme Bodi ya Mikopo
siamini kwamba lazima kila mtu aende JKT
je wanaojisomesha private
 
Kubakwa ni strong word,hata ile miaka ya 87/88 nilipokuwepo haikuwa kubakwa.Ni ile environment inayomfanya msichana ajirahisi,kwa kupata nafuu katika mambo fulani.
Ni kweli. Mie nilikuwa JKT mwaka 1981/82. Wasichana wavivu na waoga wa kazi na kwata nzito walikuwa wanajilegeza kwa maafande ili wapate kaunafuu. Afande naye ni binadamu kwa hiyo ukijilegeza ni furaha kwake. Kwa hiyo miaka ile hapakuwa na kesi za kubakwa kwani mabinti walijipeleka wenyewe. Nakumbuka sista mmoja na usista wake alipata mimba toka kwa afande tukiwa kambi moja. Tukabahatika kuhamia kambi nyingine pamoja, akaitoa ile mimba. Alipobanwa sana na Adjutant alidai eti alibakwa na afande kwenye ile kambi ya mwanzo na huku kambi ya pili eti ameanguka kwenye mchakamchaka ndipo mimba ikatoka. Uongo mtupu! Mbona alikaa kimya kule kambi ya kwanza? Kwa nini hakushtaki kuwa kabakwa kabla hata ya kujua kapata mimba? Kichekesho ni kuwa ktk kambi ya pili aliendelea kula kwa siri na yule Adjutant ili asifunguliwe charge, akawa hafanyi kazi ngumu eti ana special duty. Na usista aliuachia pale pale JKT. Ninachosema hapa ni kuwa JKT hakuna kubakwa bali wadada wanajilegeza wenyewe. Na kama mtoto kabakwa kweli, basi apige mayowe aende kwa mkuu wa KIKOSI akashtaki na hapo utaona jinsi sheria za jeshi zilivyo kali! Na kwa kizazi hiki cha sasa (dot com generation) ambacho kimepelekwa jeshini bila ridhaa yao kama kweli mtoto angebakwa mbona dunia nzima ingesikia yowe?
 
Kama mkuu wa kikosi akimwomba mtoto wa Form 6 mapenzi atakataa?mtandaoni jamaa aliandika marehemu Dr Kahama,alivyokuwa na mkuu wa kikosi!
Naona Mzee na utu wako,umekosea.Nimeandika kubaka sikubaliana nayo,wala si kwamba eti wanawake wanajilegeza.
hata uraiani angalia mameneja say tawi la benki ,anavyoweza kuwa na 3 women at a time within the branch.
Hata kama wameolewa!

Wanawake wako weak kina mna hiyo,uraiani mwanamke ni rahisi kukataa advance ya meneja/mkuu wake wa kazi,lakini JESHINI ni rare
 
Uzee na utu wangu unahusianaje na hoja yangu huru? Nakutakia Jpili njema.
 
sio kweli
labda useme Bodi ya Mikopo
siamini kwamba lazima kila mtu aende JKT
je wanaojisomesha private
Private gani utakayoenda bila kuthibitishwa na TCU? Maana ukumbuke sasa hivi vyuo vyote vya serikali na private, havina ruhusa ya kusajili wanafunzi. Wote wanasajiliwa kupitia central admission system.
 
Haya masuala yalishasemwa sana kuwa yapo tangu hata kabla ya kusitisha rasmi mpangao wa JKT kwa wanafunzi. Kwa sasa hali itakuwa mbaya zaidi ukizingatia kuwa watoto wanaomaliza kidato cha 6 wengi ni wadogo na miili yao haiwezi kuhimili mikikimikiki ya jeshi. kwa sababu hiyo wengi hurubuniwa na maafande ili wasipewe kazi nzito. Huu mpango wa JKT kwa wanafunzi hautasaidia kuleta uzalendo bali kuchochea hasira za wanafunzi kwa serikali na chama tawala. nashauri wausitishe maramoja kuokoa kizazi cha vijana wa taifa hili.
Sina tatizo na mpango wa JKT, binafsi nauunga mkono, ila nafikiri kwamba jitihada za makusudi zifanyike ili kuhakikisha kwamba watoto wetu wanakuwa salama huko.
 
Private gani utakayoenda bila kuthibitishwa na TCU? Maana ukumbuke sasa hivi vyuo vyote vya serikali na private, havina ruhusa ya kusajili wanafunzi. Wote wanasajiliwa kupitia central admission system.

Sijafanya research
but jiulize kitu kimoja tu
wahindi wanaenda JKT?
hapana
je hawasomi kwenye vyuo vya hapa nchini?
wanasoma
so go figure that....nina uhakika 100 percent kuwa sio lazima kwenda JKT
 
Sijui watoto wa Jeetu ,Manji au Rostam watakwenda JKT
 
Kipindi cha nyuma akina Mohammed ent walienda jkt wahindi kila aina ya wasomi sio uzalendo tu pia taifa letu vijana wanapenda kazi rahisi tu kunenepeana maofisini hata kuhamisha kiti ofisini hadi secretary yaani inapunguza uozo kwa hali ya juu maana ulele mama umezidi nakumbuka kipindi nilikua shule ya msingi kuna walimu walipita jkt kiukweli walikua active kuliko mnavyofikili wadau mtu anapangiwa kufundisha shule ya kijijini anakimbia anaacha kazi.
 
Mimba.!! mimba!! mimba!! oyeeee! virusi safiiiiiiii,jkt iyoooo! wahusika lifanyieni kazi haraka.
 
Ogopa sana habari isemayo 'nackia' kwani huo ni uzushi. Miongoni mwa sehemu ambazo nidhamu huzingatiwa ni jeshini xo kama m2 ana uthibitisho kamili atoe au aende mahakamani!......
 
Hii ni habari mbaya na ya kusikitisha sana. Naunga mkono sana kufufuliwa kwa JKT, na lengo la JKT kwa volunteers na compulsory groups ni jema sana pia. Hili halipingiki na hata mimi binafsi nitahakikisha watoto wangu wote ni lazima wapitie JKT. JKT ni shule nzuri sana ya maisha - adaptation!
Mimi nimepita JKT operesheni Kagera 1979. Sheria zipo za kuhakikisha usalama wa wanafunzi, ila kama zilivyo kila sehemu huwa zinavunjwa. Sikuwahi kusikia issue za wasichana kubakwa kipindi chote cha jeshi, ila........nilichokiona hakiwezi kutofautishwa na ubakaji hata kidogo kwa matokeo yake!!!
Mkufunzi akimtamani msichana atampa wakati mgumu sana hadi ampate ikiwa ni pamoja na adhabu asizostahili, kazi ngumu kupita kawaida, kumtafutia visa n.k. na mwishowe msichana atakubali yaishe. Wachache walikuwa tayari kuumia kuliko kumkubali afande. Nakumbuka incidence moja ambayo afande aliposhindwa kabisa kumpata msichana akamgeukia boyfriend wa msichana ambaye pia ni kuruta na kumsulubu bila sababu hadi kumsababishia ulemavu. Ilibidi tu kwa usalama wake boyfriend amkimbie yule msichana. Tumeyaona kwa macho lakini hapakua na utaratibu wa kuweza kulalamika popote humo kambini kwani ili kumwona mkuu wa kikosi ruhusa inatoka kwa wakufunzi hao hao. Bahati tu enzi hizo ukimwi haukuwepo tofauti na sasa.
Suluhisho la muda mfupi: Serikali itenganishe makambi ya wanawake na wanaume. Kambi za wanawake ziendeshwe na wakufunzi wa kike tu. Wakati hili linaendelea, kuwekwe taratibu zitakazohakikisha wakufunzi wanaowawekea wanafunzi "mazingira magumu" kwa sababu za binafsi wanawajibishwa ipasavyo ikiwa ni pamoja na kufikishwa Court-martial na kupewa adhabu zinazolingana na za makosa ya ubakaji! Hii ni pamoja na wanafunzi kuwekewa njia "nyeupe" ya kumwona mkuu wa kikosi mara wanapokumbwa na mazingira "magumu" yasiyohusiana na mafunzo, uwepo wa masanduku ya maoni kwenye kila kombania. Pia waangalie uwezekano wa kupandikiza activists wa human rights kwenye kila kambi ("makuruta profesheno") ambao watakuwa wanazungushwa kwenye makambi tofauti kila mwaka hadi hapo tutakapokuwa kwenye mstari unaotakiwa. Lakini umuhimu wa JKT kwa vijana wetu unabaki pale pale kuwa ni lazima. Tuliopita JKT tumeona gaps za generation ambayo haikupitia JKT!!!!!!

Mkuu unayoyaongea si kws Tanzania ya sasa!

Kama hata huku uraiani sheria haziheshimiwi hata Na Askari wenyewe itakuwaje huko makambini?

Zamani si rahisi Askari kujihusisha Na makosa ya jinai na sheria za jeshi zilikuwa sheria kweli. Ndugu yangu si zama hizi ambazo Askari yuko juu ya sheria.

Halafu nani kakudanganya waliopitia jeshini ni wazalendo zaidi Na wana maadili zaidi? utafiti Wa wapi Mkuu? Kama huo utafiti upo tuwekee hapa tuuone. Kwanza mafisadi karibu wote, wala rudhwa, waweka mikataba ya kishenzi karibu wote wamepita jeshini na wengine wako Au walikuwa kwenye vyombo vyetu vya usalama!

Kwa ufupi JKT kwa dada zetu Na binti zetu ni balaa!
 
hizi ni propaganda na uzushi unaoenezwa na watu ambao hawataki haya mafunzo na wengine kwa sababu tu kuwa wao kila kitu huwa wanakichukulia in a negative way,,nina mdogo wangu amemaliza mafunzo huko,nilimhoji sana hizi habari za kubakwa, kwanza anasema hakuna kubakana,na anasema sana sana vitendo vya ngono ambavyo ni maridhiano ni kati ya kuruta wenyewe,lakini kwa wakufunzi hakuwahi kuona licha ya kuwa watoto wa kike saa zingine kwa kupenda mteremko huwa wanajitongezesha kwa wanafunzi.dogo anasema vitendo vya ngono vinakatazwa na kuna utaratibu wa kuripoti unaomlinda victim incase ametendewa hivyo.jamani hii nchi ni yetu sote,,si vzr kusingizia tuhuma,,tuzikabili changamoto zilizopo mbele yetu kwa uhalisia na sio kusema uongo.mungu ibariki tanzania.
mleta mada anasema ana mwanae jkt na taarifa za ubakaji zinatoka kwa wanamafunzo;wewe unasema unamdogo wako ; tumwamini nani? Kwa kuwa kuna tamko la ubakaji yapaswa uchunguzi wa kina ufanyike; lakini pia kwa nchi yetu hata ikiundwa tume yenye kulipwa mafedhwa lipoti hazitolewi acha kwa wakati,hivyo tunalazimika kuamini lisemwalo lipo na kama halipo laja,pia tunafahamiana watanzania wengi hasa watu wenye vyeo (wanaume) kuwabaka au kuwazini wanawake hawaoni hawa wala dhambi ;hali sio nzuri
 
Back
Top Bottom