Taabu kwelikweli!! Hawa si ndio walewale waliowahi kumpigia kura Rais wao kwa 99.9% miaka kadhaa iliyopita na Wazungu wakapongeza kwa kusema kuwa uchaguzi ulikuwa wa wazi na haki?
Watafute mbinu ya kujiokoa ila wasiige mbinu ya Syria kwa sababu wakianza kutandikwa hawana pa kukimbilia: TZ - No entry, Burundi - No entry (isitoshe walimtungua Rais wa Burundi), DRC - No entry washapatibua, Uganda - Ebola itawatafuna! Labda Kenya - Lakini watapitia wapi?
Mi nasubilia tu , huyu kagame atakuja tu kutupigia magoti? Mi sio mchumi, lakini anajumiza mwenyewe, kusafirisha au kutumia bandari ya mombasa , ni lazima avuke mipaka miwili , kenya to uganda , uganda to rwanda , kwa akili ya kawaida tu anajikomoa mwenywe !!! Ajue kimya kingi kina mshindo mkuu.