Recent content by mTz

 1. M

  PPF yamfukuza kinara wa kuomba rushwa

  Huyu mdada ni soo. Alikuwa NMB Moro akatimulia kwa sababu ya kulamba fweza.
 2. M

  Ufugaji wa Samaki: Pata ushauri, mawazo na michango kuhusu ufugaji samaki. Jifunze changamoto, utaalamu na masoko ya Samaki

  Angalia na hiki kitabu cha ufugaji wa kambale http://aquanic.org/species/catfish/documents/CatfishManualEntire.pdf Vile vile mnaweza kuwasiliana kwa maelezo zaidi na huyu jamaa wa SUA kwa email: nmadalla@gmail.com
 3. M

  Pugu Boys Secondary School a.k.a Pond boys

  Sadly I heard that Charwe passed away from complication of a stroke. I was there as well 91/93 PCB palepale Ujamaa luckily as one of the leaders and hence a privilege of living in some sort of a "private" accommodation.
 4. M

  Masoud Kipanya is wrong about SUA

  Your argument is wrong, does it mean that a graduate in banking studies should open a bank? hell no! With investment every person has a right to invest where s/he think will make money within a reasonably short period. Agriculture in Tanzania has never been so attractive to invest, ask yourself...
 5. M

  Masoud Kipanya is wrong about SUA

  About the University The history of Sokoine University of Agriculture dates back to 1965 when it started as an Agricultural College offering diploma training in the discipline of agriculture. With the dissolution of the University of East Africa and the consequent establishment of the...
 6. M

  Masoud Kipanya is wrong about SUA

  Kudos Mzeeba, the course contents shows why SUA graduates can be employed in a wide array of jobs due to their versatility. Now, back to the cartoon, Kipanya may be right or wrong depending on which angle one decides to view the whole issue. He may be right in the sense that despite having...
 7. M

  Bajeti Tegemezi Na Matumizi Yetu Kwenye Misafara: Hivi kweli tunachapa kazi?

  Issue ya ambulance ni complex kidogo. Ambulance inatumiwa na daktari wa mkoa kama official car. Sabau ya kuiona hapo ni kwa vile daktari wa mkoa naye inabidi awe kwenye entourage. Vile vile kuna uwezekano kuwa imeazimwa na uongozi wa mkoa kubeba maafisa wa mkoa ambao wanatakiwa kuwa kwenye...
 8. M

  Mtanzania apata ajali Michigan, Mahututi..

  Poleni wafiwa na Mungu ailaze pema roho ya mwenzetu.
 9. M

  Mtihani wa kesho huu hapa!!

  Kuna mwanataaluma mmoja kanifowardia sehemu ya barua ya mwanafunzi wa chuo kikuu akiomba kubadili digrii program " The heading above is much concerned. I was done quickly choice due to application form so late I was got, lack of understand and its application of degree programme of …. But...
 10. M

  Tanzania: Vyeti bandia, elimu za kununua na watumishi vihiyo

  Mkubwa angalia tena source yako ya information, hapo umechemka vibaya sana!
 11. M

  Tukumbuke Zamani: Historia Ya Taifa Letu Katika Picha

  Yes jamaa ni shujaa kwelikweli.
 12. M

  Ufisadi Juu Ya Magari Ya Abiria!!!

  The instructions are vague that you can import the car (hiace) as a van (without seats) and once it is cleared, you do the needful.
 13. M

  Harusi ya Maxence na Stella - Hongera kutoka JF

  Max hongera na karibu katika klabu ya "walala utupu" :)
 14. M

  Noisy sex gets man banned from home

  Bao huwa linakuwa tamu ila kelele zikizidi inakuwa noma, kama kelele ni over and above dawa ni kushindilia tambara mdomoni :) (just kiddin)
 15. M

  CIA to M16: Hakikisheni Nyerere Hafanikiwi

  Mkuu, hivi nchi kama Kenya Zaire, Malawi etc.ambayo haikufuata siasa kama tuliyofuata wana maendeleo yoyote ambayo ni significantly different na ya kwetu? To me, I have always believed that we were destined to economic failure during the cold war era whatever avenue we would have taken.
Top