Recent content by mtweve

  1. mtweve

    JamiiForums Tanzania Mbozi: Makada wa CHADEMA watwangana makonde kugombea nafasi ya uwakilishi bungeni

    Si inabid uwe mwehu kuwaamin Chadema
  2. mtweve

    JamiiForums Tanzania Limbu: Jaji Mutungi 'amenunuliwa' na Zitto

    Nadhan Limbu ndio kavamia chama
  3. mtweve

    JamiiForums Tanzania Shahada ya uzamili

    Napenda kufanya masters lkn tatizo kipato....anayenipenda anipe scholarship ntamshukuru maishani
  4. mtweve

    JamiiForums Tanzania Profesa Jay akamatwa na kupandishwa kizimbani (Movie)

    Mfyuuuuuu
  5. mtweve

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke wa mtu,asiye na amani na ndoa yake.

    Hahahaa
  6. mtweve

    JamiiForums Tanzania Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

    inauzwa bei gani?
  7. mtweve

    JamiiForums Tanzania Elimu ya bure kuhusu Azam TV

    andika Eutelsat
  8. mtweve

    JamiiForums Tanzania Umri wa mtoto vs kilo zake

    Wadau,mtoto wangu ana miezi 6 kasoro hvi,week iliyopta tulienda kumpima kliniki,ana kilo 9.5....nesi akasema uzito huo ni mkubwa sana ulilinganisha na umri wake. naomba mniambie inasababishwa na nin? Nin athar zake? Na nifanyaje kuondkana na tatizo hilo? chakula ananyonya maziwa ya mama tu
  9. mtweve

    JamiiForums Tanzania LCD v/s LED Tv

    labda kampuni inayotengeneza tv hufanya ubora wa picha uwe tofauti
  10. mtweve

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ngapi ngap?
  11. mtweve

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Anayejua kuingiza chanel za muvi tv na nyenzake kwa dish la azam tv plz anibip nimpgie anielekeze plz 0753380229
  12. mtweve

    JamiiForums Tanzania Tbc1 on azam tv

    Wadau naomba msaada,nafanyaje niweze kuona full screen tbc1 kwenye kisimbusi cha azam tv? Natanguliza shukrani....unaweza kuni pm au whatsap 0753 380 229
  13. mtweve

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete, TUCTA wajadili jinsi ya kuboresha maslahi na ustawi wa wafanyakazi

    Kila siku mazungumzo,hakuna utekelezaji,hcho mbona hasemi nini kiliamliwa kwa kila hoja,zaid kuunda mabaraza ya wafanyakazi ambayo kwangu mimi bdo sion impact ya moja kwa moja kwa wafanyakazi
  14. mtweve

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri Bungeni Dodoma: Ijumaa Tarehe 11 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Hawa wa serkal 2 hawana jipya ni hayohayo
  15. mtweve

    JamiiForums Tanzania Majangili yakamatwa Nanyumbu, dereva wa Mh. Hawa Ghasia abambwa

    Naomba mwenye nakala ya lile gazet la daily mail
Back
Top Bottom