Recent content by Mtwara Smart

  1. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Muwekezaji anatafutwa Mtwara

    Nini
  2. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Muwekezaji anatafutwa Mtwara

    TANGAZO TANGAZO TANGAZO Anatafutwa muwekezaji kwa ajili ya kumuwekea nyumba kubwa ina aprtment mbili (Chumba Self, Sebule Jiko Kila Upande) tayari ina wapangaji Kiasi Kinachotakiwa: Milioni 5 Marejesho: Milioni: 7.5 Muda: Miezi 8 (Hadi May 2027) Nyumba inamilikiwa na mtu mmoja sio familia...
  3. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Mkuu NHIF ni kati ya wanaomponza Ummy Mwalimu

    Wanawanyima Bima Za Afya Watoto Wetu Waumwe Wafe Ila Wakwao Wazidi Kututawala
  4. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

    Diploma Afya Hawana Mikopo Mzee Ya Heslb Ndio Imeanza Mwaka Huu! So Take Home Lazima Akulambe 628k
  5. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Vibali vya Uhamisho Utumishi vimeanza kutoka?

    Uhamisho Now Ni Wewe Tu Pesa Yako Ila Muda Wowote Unahama Mzee! Naongelea Vitu Ambavyo Nimeviona
  6. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Kuna harufu ya rushwa Wilaya ya Kwimba katika maandalizi ya mtihani wa Kidato cha Nne

    Walimu Mna Njaa Sana Hii Inapelekea Wivu, Husda Na Unafiki Ndani Mwenu
  7. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Ulikosea nini maishani hautaki mwingine arudie kosa kama hilo

    Kuoa, Sitako Kabisa Kusikia
  8. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa

    https://www.amazon.com/Meta-Quest-128GB-Breakthrough-Reality-3/dp/B0CJV6DPRF?ref_=ast_sto_dp&th=1 Naomba bei ya hii hadi kufika TZ
  9. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Gharama ya kuweka mfumo wa umeme

    NISAIDIENI NA MIMI WAKUU NAONA KAMA NAENDA KUPIGWA 1. Bomba 100 @ 2. Square Box a) Single 14 @ b) Double 12 @ 3. Round Box 6 @ 4. Switch a) Single 2 @ (1G) b) Double 6 @ (2G) 5. Main Switch 2 (Njia 4) @ 6. Bulb 14 @ 7. Holder 14 @ a) Slope 6 b) Straight 8 8. Socket Switch 10...
  10. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Msaada gharama ya kuchimba na kujenga shimo la choo ft 10 diameter na kina ft 12 material cost na labour cost

    Mtwara Kubwa Ndugu, Mimi Nimechimba Nanyamba Hapo Mwezi Wa Saba Jamaa Wa Kuchimba Wamekula 100k Na Ujengaji Wakala 140k
  11. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Uzi Maalum wa Uhamisho wa watumishi kubadilishana kituo cha kazi

    Weka Namba, Mtu Akipatikana Akutafute Vp
  12. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu NSSF

    Kama Umepita Ajira Serikalini (Una Shift Kutoka Private Kuja Gavoo) Hiki Sio Kioindi Kizuri Sana. vizia Kuanzia Mwez Wa 12 Had 4 Mwakani Hapa Huwa Upepo Wake Unaweza Kukupa Pesa Zako Otherwise Jiandae Kulia
  13. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Nimetoka ukweni Kigoma, ila kama hii ndiyo aina ya wazee acha wabaki na watoto wao!

    Nilienda Kwa Wakwe Ilitokea Hivi, Nikasema Jaman Sio Ugomvi Mimi Naona Kwa masharti Haya Sitaweza Kwahiyo Bakin Na Mtoto Wenu! Week Mbili Baadae Dogo Akarud Mwenyewe Ghetto Anasema Jome Life Gumu Nikamwambia Haya Pumzika Ndoa Tushafunga Kweny Mioyo Yetu
  14. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Hakuna haja ya ku certify cheti original
  15. Mtwara Smart

    JamiiForums Tanzania Kero za wapiga debe stand za mabasi

    Kuna Mmoja Alinipokea Kistaarabu Akanipa Seat No : A1 Mtei BBT-DSM, Asubuh Naenda Naambiwa Basi Ketu Halina Herufi Lina Namba Tu 1,2,3 Kwahiyo Nikae Seat Ya Mwisho! Nikasema Hapana Nikawauliza Huyu Mtu Mnamjua Maana TIN Number Ni Yenu Wakanisema Ndio Tusamehe! Nikasema Hapana Nikaenda Kukaa Siti...
Back
Top Bottom