Ushauri kuhusu NSSF

shankal

JF-Expert Member
Jul 11, 2013
372
324
Habari za jioni wakuu,

Mwaka 2018 nilikua nafanya kazi kwenye kampuni flani

Nilifanya kazi kwa miezi saba tu nikaacha, nikaingia zangu mtaani.

Sasa naomba kujua taratibu za kufuatilia mafao maana nilikua mwanachama wa nssf na pesa ya nssf ilikua inakatwa kila mwezi.
 
Chukua kadi yako .

Nenda NSSF tawi liliokaribu nawe kaangalie salio.

Baada ya hapo zinafuata process zifuatazo.

Utachukua fomu ya kujaza nssf ya wilaya uliyokuwa unafanyia kazi kama kinondoni utaenda ubungo.

Utaenda kwa mwajiri kuchukua barua ya kuacha ah kuachishwa kazi yenye muhuri.

Certification of services.

Kiapo cha mahakama .

Picha mbili.

Bank statement

Baada ya hapo unakaa mwezi uingiziwe hela yako
 
Nashukuru mkuu
Kipi kinaanza kati ya kujaza form nssf wilaya na kuchukua hizo document za mwajiri? au nabeba hizo documents then naenda nazo nssf
 
Kama Umepita Ajira Serikalini (Una Shift Kutoka Private Kuja Gavoo) Hiki Sio Kioindi Kizuri Sana. vizia Kuanzia Mwez Wa 12 Had 4 Mwakani Hapa Huwa Upepo Wake Unaweza Kukupa Pesa Zako Otherwise Jiandae Kulia
 
Back
Top Bottom