Kachina95 Member Joined Mar 7, 2019 Posts 62 Reaction score 211 Dec 30, 2023 #1 Wana jamvi naomba kuuliza kuna yeyote aliye na uhakika vibali vya uhamisho wa December kama vimeanza kutoka?
Wana jamvi naomba kuuliza kuna yeyote aliye na uhakika vibali vya uhamisho wa December kama vimeanza kutoka?
jiwe angavu JF-Expert Member Joined Aug 28, 2015 Posts 22,377 Reaction score 43,264 Dec 30, 2023 #2 Kahindi95 said: Wana jamvi naomba kuuliza kuna yeyote aliye na uhakika vibali vya uhamisho wa December kama vimeanza kutoka? Click to expand... Uhamisho rushwa yako tu unapewa barua yako mkononi bila wasiwasi,hakika sa100 anaupiga mwingi.
Kahindi95 said: Wana jamvi naomba kuuliza kuna yeyote aliye na uhakika vibali vya uhamisho wa December kama vimeanza kutoka? Click to expand... Uhamisho rushwa yako tu unapewa barua yako mkononi bila wasiwasi,hakika sa100 anaupiga mwingi.
Mtwara Smart JF-Expert Member Joined Jun 6, 2019 Posts 666 Reaction score 1,505 Jan 1, 2024 #3 Uhamisho Now Ni Wewe Tu Pesa Yako Ila Muda Wowote Unahama Mzee! Naongelea Vitu Ambavyo Nimeviona