Recent content by Mtu Tajiri

  1. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Pikipiki inauzwa bei nafuu, imetunzwa vizuri

    800,000 chapu kama haijapata mteja..Nipo Arusha
  2. Mtu Tajiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania FT: Mamelodi Sundowns 2-0 Wydad (Agg: 3-2)AC | African Football League Final | 2nd Leg | Loftus Versfeld Stadium | 12.11.2023. Mamelodi bingwa

    Goli mbili ,kwani si alishinda 2-1 nyumbani kwake Mzee mwenzangu?
  3. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania Pascal Mayalla V/S MshanaJr nani zaidi?

    Wote ni wazuri katika nyanja waliyoegemea,ila kwa kweli kura yangu bila kujiuliza naitupa kwa ndugu Mshana Jr
  4. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    Hatuangalii ukongwe mkuu ,tunaangalia kwa sasa kikoje?......Hivi mbona haka kauzi uchwara nakipa uzitooo!!!
  5. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    Labda kijiji chenu huko..Lakini vyama ndo hivyo vi3 nilivyokutajia.Ni mwendawazimu tu au mwenye maslahi binafsi ndio ataweza kusimama mbele ya umati na kujaribu kuaminisha unachofanya
  6. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    Huyu mwamba si mgeni hata kidogo hapa Jukwaani.ID tu ndo ngeni
  7. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania GE2020 James Mbatia the next KUB Can make the Best than ever before

    I assure you.Zama za NCCR zimepita.Kwa sasa mtu yeyote mwenye akili timamu anajua vyama vyenye mwelekeo ni vi3 tu. CCM ,CDM na ACT.Hebu tuache unafiki hapa Jukwaani
  8. Mtu Tajiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vodacom Premier League 'VPL' Mwadui FC yaituliza Simba SC kwa kuichapa kwa goli 1 - 0

    Toa Kennedi weka Nyoni ....We Kocha vipi?
  9. Mtu Tajiri

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga yasajili Wanyarwanda 2 kusuka kikosi kipya

    Wenzao wanakimbia wao wanaingia.Haya....Shibe watakua wanaisikilizia kwa wengine
  10. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania Ambao hatuna muda na Christmas tukutane hapa...

    Lete sababu kwanini hasa husherehekei.Wacha mbwembwe mkuu
  11. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania Kwa first year aliyepata hostel mazimbu, Chuo Kikuu Sokoine

    Mimi nitaenda kesho nikipata nitakubeba Lakini OLE WAKO ULETE UJEURI
  12. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania Polisi wapiga Marufuku Madereva wa Magari ya Serikali kulaza magari nje ya Ofisi, Magari ya Wizi, Silaha na risasi vyakamatwa

    Amkamate Bashite na kumuweka ndani mara moja kwa kuazisha kampeni kutwa sinazoishia njiani
  13. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania Godfrey Tumaini (Dudu baya), aitwa kituo cha Polisi Oysterbay

    Kuchimbua kilichomsibu Mo ndo imefukiwa.Sinema mpya ya Mashoga ipo mjini.Kweli Watanzania tu bendera
  14. Mtu Tajiri

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yazuia mkopo wa Sh. Bil. 700 kwa Tanzania kufuatia kuzuia Watoto wa kike waliopata ujauzito kurudi shuleni baada ya kujifungua

    Na kuna hili la Makonda kuwavalia njuga Mashoga.Wakisikia tu tutegemee kusikia wakipuliza tena kipyenga
Back
Top Bottom