INAUZWA Pikipiki inauzwa bei nafuu, imetunzwa vizuri

Aug 3, 2022
49
86
Nauza hio pikipiki bei ya kutupa (ukita kadi isome majina yako ni ndani ya saa 24 tayari kadi inasoma majina yako)

Imetumika kwa matumizi binafsi haijafanya kazi ya boda boda

Bado haijaguswa na fundii

Bei yake ni nafuu saana yaan 900,000/=tsh

Napatikana Dar es salaam, Magomeni-Mwembechai.

Jodam-supply

PIGA 0768101677

Ukiwa Mwanza unaipata ndani ya mda mfupii mnoo

eca3e1827ef0413d947f1a1363c7d10d.jpg

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom