Recent content by Mtu mdogo

  1. Mtu mdogo

    Naomba ushauri juu ya matumizi ya mbolea/ samadi katika uzalishaji wa mchicha

    Mimi pia nalima mchicha lishe unanilipa balaa naweka mbolea ya broiler baada ya wiki 2 napiga urea basi unanawili afu unarefuka nikipereka sokoni unaisha kwa dk 20 urea kg 25 ni sh 30
  2. Mtu mdogo

    Computer4Sale Laptop hp for sale

    picha location
  3. Mtu mdogo

    Kweli usimdharau mtu.

    Mkuu humo kwenye magodown na maviwanda kuna dili zinapigwa za kufa mtu huwezi jua kuna mmoja ni mfanyakazi wa kawaida kiwanda kimoja kipo mbezi beach ana nyumba 2 za maana ana gari mbili za kutembelea (ila kazini haendi nazo anapanda daladala) anasomesha mtoto shule ya bei m 2 kwa mwaka...
  4. Mtu mdogo

    Kama unamiliki simu ulishaugua NoMoPhoBia

    Hiyo mimi hainihusu naweza acha simu mbagala kwa makusudi nikaenda kubarizi bagamoyo
  5. Mtu mdogo

    NAUZA VITU VYA NDANI

    Kila laheri
  6. Mtu mdogo

    Natafuta kazi ya IT, nina Astashahada ya kozi hiyo

    Cheti kwanini usiongeze japo dip mana content kwa cheti hata sisco sizani Kama upo vizuri sana
  7. Mtu mdogo

    Madeni mengine serikali ina tia aibu

    Fundi anajitambua
  8. Mtu mdogo

    Wataalamu wa kutengeneza mashine

    Okay the factory or firm is found near or beside barabara mbili u will found men who manufacturing different machines kusaga kukoboa na kupukuchua fuata hiyo barabara mpaka jirani na uwanja wa mwembetogwa
  9. Mtu mdogo

    Kuna tofauti kubwa kati ya 'Mama Ntilie' wa Mwanza na Dar

    Wapi hapo mimi ni muhenga Pana nifaa mdau wa nyimbo zile hahahahha
  10. Mtu mdogo

    Wataalamu wa kutengeneza mashine

    Nenda SIDO mkoa uliopo ungekuwa iringa kuna sehemu vijana wanatengeneza ningekuelekeza
  11. Mtu mdogo

    Mbalamwezi na nadharia zake

    Ukweli ni huu biblia inasema isaka Ndiye alie takiwa kutolewa kafala ila waarabu wamegeuza na wanamtaja ishimael mtoto wa kijakazi wa kimisri kwasababu tu ni mwarabu hapo ndo quran ilipo potosha Ishmael alikuwa mtoto wa zinaa kwasababu alizaliwa nje ya ndoa ila kwa vile ni mwarabu...
Back
Top Bottom