naumbu
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 4,717
- 8,093
Wakati naanza maisha kuna jamaa kazini tena juniors kwangu walikua wananitishia maisha sana "nakaa kwangu nimejenga" siku nimewatembelea makwao ndio nikaona haya maisha usijipe pressure zisizo na msingi![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee jamaa...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unakuta mtu nyumba madirisha ameziba mabati makuukuu,chumba chenye mlango ni chake tu,choo mlango gunia,umeme na maji hana uhakika wa kupata leo wala kesho,ila anakutishia kwa vile umepanga
Sent using Jamii Forums mobile app