Recent content by MTU KAZI

  1. M

    Kwanini Lara1, Naandika Nayoandika? The remarkable conspiracy and collateral damage of mmu!

    Lara unajua unapotetea kitu au jambo fulani ujue kitu au jambo hilo linaudhaifu ama linashaka miongoni mwa wanajamii.Unapo fikilia kwa mtazamo wa kushoto tu jua kunamtazamo wa kulia na kinyume chake.Hebu jalibu kuwaza kupitia milango ya fahamu hata kama kama inapingina na unacho kiamini.Ruhusu...
  2. M

    Hivi ni kwanini UDOM inadharaulika kiasi hiki?

    Unajua unapo amsha mada kama hii uwe na ushaidi wa kutosha.UDOM ni chuo bora kabisa na kinatoa wahitimu bora na wenye uwezo na hii ni kwa uthibitisho ufuatao: 1 Kinachukua au kinasaili wahitimu wenye ufauru mzuri, 2 Kinatoa elimu ambayo inaendana na mahitaji ya jamii, 3 Wanafunzi wenye uwezo...
  3. M

    Wivu jamani...!!!

    Hivi kweli jamani wivu ni dalili na alama ya upendo?. Au wivu ni ulimbukeni wa mapenzi?.Ama kunaaina za wivu?.Naombeni majibu ya kina katika haya, maana mara nasikia mtu kamuua mpenzi wake kisa wivu, kweli1. Ama kunauhusiano gani kati ya wivu na mapenzi au ndoa?.
  4. M

    Udom: Tabia ya kuwaongezea coursework wanafunzi waliofeli inakatisha tamaa

    Mi nipo UDOM kwa sasa,na ukweli hakuna kitu kama hicho na watu wa disco kama kawaida.Huenda huyu jamaa ni mjasi wa ng'ong'ona hajui lolote na wala si mwanachuo na kama mwanachuo basi ni kilaza na ndio maana kafeli UDSM.Unafel vipi ud kwa mfano halafu uje utegemee kufaulu udom tena labd education...
  5. M

    Dunia imetawaliwa na low thinkers

    Unajua wakati mwingine kunamipaka ya upeo wako wakufikili na sio kwamba imani za dini ndo zinakufanya usifikili vizuri. Kiukweli ni kwamba hakuna elimu bora kama unayo ipata kwenye vitabu vya kweli vya dini za kweli na haki. Mambo yote ya kisayansi unayo yaona ama yanayo gunduliwa karne hizi...
  6. M

    Hili nalo ni tatizo

    Sio kwamba ninalangu ila najalibu kuangalie upande wa hili tatizo,ama kunasehem nimekosea?
  7. M

    Hili nalo ni tatizo

    Kusema ukweli nawapenda sana wanawake na huwa ndio rafiki zangu wakubwa mno,hubadilishana nao hili na lile ili kufikia malengo ya maisha. Lakini kwa wanawake huwa sivutiwi kabisa na maswala au tabia hizi: 1 kuunganisha nywele za bandia, 2 kuvaa vinguo vidongo vidogo ama visiketi vifupi kiasi...
  8. M

    Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

    Unajua sio kwamba bonge la chaka ila unacho takiwa ni kufikili zaidi ya hapo ulipo komea. Maana wanawake walio wengi kwenye maisha yao ya ndoa wanaishi kwa uvumilivu mwingi kwani kunamengi wana kwazwa na enza wao,hivyo wanawake tajwa hapo wana weza kuwa wavumilivu zaidi.
  9. M

    Jamani kombe la Dunia,mabinti na BRASIL.

    Baada ya kipigo tulicho kipata mashabiki wa SPAIN, leo nimeendelea na utafiti wangu ulio anza juzi na leo asubuhi kwa uchungu nimefikia kikomo.Nilikua nafanya utafiti kujua mabinti wengi wanapenda timu ya Taifa ya nchi gani?, na kwa nini?. Utafiti wangu nimeufanya hapa UDOM na nje ya chuo...
  10. M

    Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

    La msingi ni kuwa mapenzi ya ndoa ni tofauti sana na mapenzi ya kuchezeana. Ukimuoa mke ni vema awe wa kudum na siyo wa kushindia.
  11. M

    Ukipata mwanamke toka makundi haya basi oa

    Mwanamke wa kuoa hupatikana kutoka mahali popote lakini nakwambia mwanamke ukimpata toka maeneo haya atakua anafaa zaidi kuwa mke. 1 Mwanamke mwenye dini na anaijua vyema dini,ni vyema mkawa wa dini moja. 2 Kahaba (yani anayejiuza au alisha wahi kufanya kazi hiyo) akikubali kuolewa oa atakuja...
  12. M

    Hadithi: Wakili wa moyo

    Furaha ya moyo hainunuliwi kwa pesa ila ni kwa hadithi tamu,yenyekusismua na kuleta matumaini kama hii.Mungu akjaze hekima.
  13. M

    Hadithi tamu: Hisia zangu

    Mapenzi bwana yanakila sifa yani nzuri na mbaya,lakn nzuri ndo nyingi.
  14. M

    Hadithi: Wakili wa moyo

    Basi iendelee maana nashauku kubwa ya kujua kitakacho fuata.
  15. M

    The Second Door (Tamthilia)

    Asante,imefika patam mno inalazim kusona na kila sehem unayo tupia.
Back
Top Bottom