download app inaitwa HDO Box na u stream movie zote za Netflix, Hulu, amazon, HBO n.k ama uingie Netnaija – Trending Movies Hub utaweza download movie zote latest zikiwa HD kwa mb chache....
umeandika kitu kizuri sana, kuna jamaa anaitwa Adam Fayed yupo sana Quora anajitangaza sana na anayo platform yake anauza package za investment kwa bei tofauti na anadai zina returns nzuri..... unamsemeaje huyu?
Mi natamani sana kuwekeza katika biashara hii lakini sijui maeneo gani yanaleta uhakika wa kutopoteza mtaji mf: kuwa na mwalo wa kusafisha dhahabu, kununua na kuozesha mchanga, ama kuchimba kabisa
I salute pia mkuu....
Mi naomba ufafanue kidogo juu ya mpango wa formation of israel nation huku east, cjui ni east africa kama sijakosea ku quote .... otherwise umetsh-aa:thumbup:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.