Recent content by mtoto boss

  1. mtoto boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku akikubali natangaza ndoa/ nipeni maarifa

    Mshuaa jiongeze sana Asee Ujuvii na takwimu zisizo rasmi.. Demu wa mwaka wa kwanza bado sana, ajui vingi na aoni fursa nyingi... Akifika mwaka wa tatu akisema ivoo ujue huyo ndo wife material.. Nikija kwenye ile mada ya kula demu kimasihala nakuta visa kama vyako mkuu Ngoja apitie mitihani ya...
  2. mtoto boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wajuzi wa mambo hii kitu inamaana gani?

    Anatoka jamii wanayokula ndizi ? Kama jibu ndio ..huko ni kawaida.. Wataalam wa huko hufanya mahusiano chini/sakafuni .. Na kitanda ni sehemu ya kyulala tu .
  3. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Mliopiga kura wekeni vidole vyenye wino hapa

    Huku kwetu hamna uchaguzi... Mtendaji kata kanipa hii habari.. Ikabidi nirudi magetoni tuu
  4. mtoto boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Wanakujaa
  5. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Hizi ndio ofisi 23 ambazo waajiriwa hujisikia na wana nyodo sana

    Bank lakini ni NMB
  6. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Nilichojifunza ndani ya mwaka mmoja bila ajira

    ....kila kityu kingekuwa chepesi.... Kila MTU angekuwa TajiRi..
  7. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Kazi za Tanzania Airports Authority (TAA) nafaso ya Internal Audit II and Accountant II, alidhapatikana Mtu?

    Ngoja waje... Kwenye mamlaka huwa kuna mpunga sana...
  8. mtoto boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kufatilia kula tunda bila mafanikio?

    Wa hivyo wazuri... Acha kukata tamaa mapema.. Izo kachumbali zinapata motto taratibu kama mchanga vilee na kupoa ni kazi sana... Wee nenda nae mdo mdo ... Ku kata Tamaa ni mwiko Mwambafai.. Rudisha majeshi broo Pm namba tukuwekee njia sawa Wee uterezee tuu
  9. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Tambua utapeli unaofanywa na Job Junction

    Kuishi dar ni form six toshaaa
  10. mtoto boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Umeshawahi kuachana na mpenzi wako kwa sababu umeona mahusiano yenu "hayatofika mbali" (hamjagombana kabisa)

    Nikigundua dem ni mlokole tuu ..huwa na delete kimya kimyaa Maana ni wa Naha as sana
  11. mtoto boss

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanamke nimfanyeje?

    Endelea kubembeleza.................. Tuliambiwa tuishi nao kwa akili... Anapima msimamo tuu ..............
  12. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Balozi zenye Majengo Chakavu

    Nice... Na ile residence ya DRC kule kumbi ya diamond jubilee
  13. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Watu ambao muda mwingi wapo active sana kwenye social media wanaendeshaje maisha yao?

    Kweli mkuu.... Ukikosa kazi utaelewa tuu
  14. mtoto boss

    JamiiForums Tanzania Balozi zenye Majengo Chakavu

    Bado wa DRC
Back
Top Bottom